Na wakaka jamani muachage kuwa na macho juu juu ..kila mwanamke mnataka kumvua Pichu....
Habarini waungwana
Wadada wezangu tusipende sana mtelemko jaman ukimwi upo,hii imemtokea mtu wangu wa karibu nimeona nishee hapa ili na wengne mjfunze kitu,huyu mwanadada alikua anatoka kimapenzi na baba mmoja mtu mzima tu wameenda nae sasa hivi takriban mwaka mmoja huyo baba kampangishia nyumba na funguo ya gari kamkabidhi.Sasa huyu mdada akakutana na kijana kampenda nae pia amempenda kijana,wameenda kama miez mitatu hivi kijana akamwambia mwanadada yeye yupo tayari kumuoa ila kabla hawajaanza hatua yoyote ile wakacheki afya zao kwanza mwanadada akajiongeza akaenda peke yake kwanza kupima majibu kutoka ameathirika..anadai tangu awe na huyo mtu mzma hajawahi chepuka hivo uhakika mtu mzma ndo kampa hao virus..tuwe makini wadada wezangu pesa mambo ya madanga mwishowe ndo huo.
Unavuliwaje wakti unajivua mwenyewe... maana unakuta isha loa tayari.Na wakaka jamani muachage kuwa na macho juu juu ..kila mwanamke mnataka kumvua Pichu....
We jamaa ni robot ama????Wadada mmesikia mambo hayo..kuweni makini
Umetulia lakini?Na wakaka jamani muachage kuwa na macho juu juu ..kila mwanamke mnataka kumvua Pichu....
Sijatulia ila bila kupima afya hunivui CH.upi yanguUmetulia lakini?
Ukimwi upo jamani.... Tena kwa sasa watu wanaanza kutumia dawa mapema sana..... Baada ya kampeni ya Test and Treat.... Huwezi kumgundua aliyeathirika kwa macho.Habarini waungwana
Wadada wezangu tusipende sana mtelemko jaman ukimwi upo,hii imemtokea mtu wangu wa karibu nimeona nishee hapa ili na wengne mjfunze kitu,huyu mwanadada alikua anatoka kimapenzi na baba mmoja mtu mzima tu wameenda nae sasa hivi takriban mwaka mmoja huyo baba kampangishia nyumba na funguo ya gari kamkabidhi.
Sasa huyu mdada akakutana na kijana kampenda nae pia amempenda kijana,wameenda kama miez mitatu hivi kijana akamwambia mwanadada yeye yupo tayari kumuoa ila kabla hawajaanza hatua yoyote ile wakacheki afya zao kwanza mwanadada akajiongeza akaenda peke yake kwanza kupima majibu kutoka ameathirika.
Anadai tangu awe na huyo mtu mzma hajawahi chepuka hivo uhakika mtu mzma ndo kampa hao virus..tuwe makini wadada wezangu pesa mambo ya madanga mwishowe ndo huo.
Mtoto wa kiume unajiitaje mzuri?Jaman tuugawaneni tu mbona mwataka kutuacha nao sisi tu aaaaah!!!!!! Haipendez bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wababa nao wajiheshimu
Nikweli mkuu bora tu kupiga kinywa kama vile haujaona.iyo sio kwa wadada tu hata sisi wakaka ,,tunatamaa sana ,,ukiona mdada nyuma maashalaah tayari zishatusimama ,,tunasaau kwamba ukimwi upo ,,tena ao waliojazia ndio attar sana ,,,tue makini ,,