Wadada wetu waleo jaman!!

Wadada wetu waleo jaman!!

ntabhewa

Member
Joined
Mar 5, 2011
Posts
9
Reaction score
6
Unakuta mdada ni rafiki tu, mnawasiliana vizuri eitha kwa simu na hata kutembeleana, cha kushangaza ikitokea mdada akiwa na shida akiomba msaada kwako(hasa pesa) ukimpatia tu, kuanzia cku hiyo utaanza kuona anavyokukwepa kisa eti yuko busy! Akiishiwa yeye ndo wakulaumu eti unamtenga! Wapo wadada wengi wanamna hii hasa mijini
 
Back
Top Bottom