wadada wenzangu naombeni msaada

Mwanamke anaweza akawa mjamzito na kujifungua mpaka mara 15 katika maisha yake, lakini mwanaume anaweza kuwapa ujauzito mpaka wanawake 15 katika siku moja.
 
point ipo hapo.....ni ukweli kabisa na hakuna kona kona kwa hili.....amini nakwambia....

apa ntakupinga adi nakufa,maybe useme kwa asilimia kubwa,nina dadayangu aliyeolewa BIKRA,AGEd 28,mwaka 2004! . .Uyo m2 wake ameseto sijawi ona ase! Na sista wangu akuwa ma. .L. .Ya wala danga
 
Anza kujiamini wewe kwanza..
.Ndipo utakapo weza kumuamini mwenza...
Ushauri huu kama dhahabu. .
 
kama wajitambua ni hatua mhm kwako ktk maisha,unapokuwa selective pia uwe creative,unapotaka jambo jema na zuri kwa maisha yako kuwa mwenye subira na mtulivu,kuwa na mipango juu yako na mwenza wako,jambo mhm ambalo mabinti wa sasa wanalikosa ni hawana vifua vya kutunza mambo,yaani wanaharaka ya mambo,mapenzi huenda kwa hatua za kimakuzi kama mtoto anavyokuwa,so vizuri usiwe na haraka ya kujuza marafiki na watu wako wa karibu,fanya kuwa hilo ni jambo lako binafsi pia tumia muda wako wa kutosha kumwelewa mwenzi wako anapenda nini na anachukizwa na nini,nae kama ni mwenye nia atafanya hivyo bdae utaona mwenzi wako anafanya bidii kurekebisha usiyoyapenda nawe vilevle,hyo ni dalili njema ktk mahusiano that wl last longer na suala la kutambulisha mwanaume mwny nia hushirikisha mwenzi wake kila jambo analonuia kufanya japo wengne huwa wasiri sana,tambua kuwa unapokua na ur boy amini kwamba wewe ndiwe mwenye sifa anazohtaji,tambua kwamba hakuna mwenye influence ya kufanya mahusiano yako yadumu yaani external forces kama wewe mwenyewe hujiamini,nafaham unatamani umtambulishe ili aogope kukuacha bt for men hlo siyo ishu ila men akikutambulisha kwa wazaz wake hawez kukukacha bila sabab za mcngi,nakushauri kuelewa kuwa u suppose to stand on your own ktk suala linalohusu mapenz pia usipanie kumudu mambo ya mapenzh ni hekima ya kipekee maana si jambo dogo kuishi na mtu unaekutana nae ukubwani,uelewa tofauti,mila tofauti,makuzi na malezi tofauti n.k mungu ni mwaminifu atatenda ktk muda unaofaa na kukupa wa aina yako .sory nimetumia simu cjaweka ktk mpango mzuri.be blessed!
 
Time wil tel dear, just do ur part, be a gud and faithful, ask God for the guidance, ur man wil apreciate u eventual and final he wil decrale u as his mrs..wish u luck.
 
hata sielewi kwa kweli acha tu nikaombewe....au na mimi nijilipue?

Japokua umewaambia wadada wakusaidie ni vyema ukasikia kutoka kwa mwanaume.Tatizo lako ni kwamba hujajua kupenda ni kufanya nini,na ni tatizo la wengi.Siku ukijua utakua huru!
 
uliposema unashangaa wenzio wanaolewa
hapo ndo point muhimu

cha kufanya mwambie mtu wako yeyote anaekufuata
kuwa ungependa kuolewa
so hutakuwa tayari kwa sex wala mahusiano marefu bila ndoa kwanza

inasaidia
the boss kweli wala sipendi ndoa kiviile believe me...
 
Pamoja na kuwa umelenga kupata mawazo ya wadada, naomba tu na mimi usome mawazo yangu juu yako. Ila samahani kama nitakukwaza kwa namna yo yote ile. Nilitamani nikwambia ktk private mail, lakini sijui naona kana sina jinsi, but also given the relevance of your mada
Mimi nimejiunga hivi karibuni hapa jamvini, lakini ktk uzoefu wangu wa muda mfupi hapa -of course kupita comments na mada zako mbalimbali nimegundua mambo mawili matatu juu yako ambayo binafsi naamini yana ukweli ndani yake. Nitayasema moja baada ya jingine:

Kwanza kabisa, kama baadhi ya watu walivyosema, unaonekana una confidence ya hali ya juu.

Pili, unajua ku-analyze issues mbalimbali zinazohusu relationship - binafsi nakukubali. Hii inanipa picha kuwa unauzoefu mkubwa ktk mambo haya aidha kwa kufanya, kusoma, kuona au kuishi na watu mbalimbali walio kwenye relationship

Tatu, uko makini sana ktk mambo yako -sijui nitumie maneno gani unielewe ninachotaka kueleza ktk point hii. Yaani wewe uko very perfect, ni TBS kwa maneno mengine. Mtu wa aina hii ni rahisi sana kuwa disappointed, maana unakuwa unategemea mwenzio naye awe kama wewe.

Nne, unaonekana siyo wanamke unayempenda mwanaume kwa kupasi time tu. Kwa maana nyingine unaonekana huwezi kumkubalia mwanaume eti kwa vile ana pesa, mali, kazi, madaraka sijui nini. Yaani, kwako ungetamani umpate mmoja unayempenda kwa vigezo vyako, na awe huyo huyo mmoja ktk maisha yako!

Tano na mwisho, nakuona kama ni mwanamke ambaye alishawahi kutendwa, tena mara nyingi tu. Matokeo yake ume-develop negativity kwa wanaume karibia wote
.

Ila samahani kama nimeku-judge vibaya, ni mawazo yangu tu. Kama hayo niliyoyasema juu yako ni sahihi, basi haya ndo yanaweza kuwa chanzo cha tatizo lako. Kiukweli huwa natamani kama kungekuwa na uwezekano tukutane tuongee ana kwa ana (sounds private, lakini sina maana hiyo kabisa au najihisi, aaaha!). Nahisi ningeweza kukushauri zaidi na zaidi. Bahati mbaya hatuwezi kuonana due to geographical location.
loh nashukuru kwa kunielewa utadhani upo moyoni mwangu .....
but hujanishauri nifanye nini mkuu mito
 
Last edited by a moderator:
Umefocus kwenye kuolewa sana kuliko mapenzi na kuridhika.

Maelewano kwanza ndoa baadae.
wala sijafocus kwenye kuolewa Kongosho ndoa ni matokeo tu
hayo mapenzi na kuridhika yako wapi?
 
Last edited by a moderator:
wala sijafocus kwenye kuolewa Kongosho ndoa ni matokeo tu
hayo mapenzi na kuridhika yako wapi?

Smile kwani kuolewa ni dhambi? na what do you want out of your relationshp? nafikiri at your age lazima uwe na maamuzi na matamanio ambayo ni dhahiri usije na misemo eti kuolewa ni bahati wakati wewe mwenyewe ndiye usiye focus huko. usitake mwanaume wa kukutia tu pasi kuwa na future. if that is the case ma dia utatiwa sana na hawa wenzetu. ushauri wangu kwako tafuta mwenzi ambaye atakuja kuwa mumeo usibahatishe tena tell God what do you want.
 
Smile kwani kuolewa ni dhambi? na what do you want out of your relationshp? nafikiri at your age lazima uwe na maamuzi na matamanio ambayo ni dhahiri usije na misemo eti kuolewa ni bahati wakati wewe mwenyewe ndiye usiye focus huko. usitake mwanaume wa kukutia tu pasi kuwa na future. if that is the case ma dia utatiwa sana na hawa wenzetu. ushauri wangu kwako tafuta mwenzi ambaye atakuja kuwa mumeo usibahatishe tena tell God what do you want.
sasa@gfsonwin utajuaje huyu jamaa huyu nijiachie kwake atakuwa mume wangu au nitadumu nae maana wanaume ni wanafiki jamani siwaamini my dia ......nashindwa kabisa kuwa kwenye mahusiano
 
seriously na mimi nina hofu kama yako, yaani ile confidence ya kumtambulisha mtu sina kabisa, tena mara nyingi imekuwa ikitokea nimemaliza kumtambulisha tu, vioja vinaanza na tunaachana, siku hizi mpenzi wangu namjua mimi peke yangu
 
seriously na mimi nina hofu kama yako, yaani ile confidence ya kumtambulisha mtu sina kabisa, tena mara nyingi imekuwa ikitokea nimemaliza kumtambulisha tu, vioja vinaanza na tunaachana, siku hizi mpenzi wangu namjua mimi peke yangu
heri wewe unamjua peke yako ... mimi hata moyo wangu haumkubali ... nashindwa kabisa kumpenda mtu
 
We mrembo achana na mawazo ya kuolewa..........

siku hizi hakuna mwanaume wa kwako peke yako kubali ukatae
habari ndo hiyo....................
 
sasa@gfsonwin utajuaje huyu jamaa huyu nijiachie kwake atakuwa mume wangu au nitadumu nae maana wanaume ni wanafiki jamani siwaamini my dia ......nashindwa kabisa kuwa kwenye mahusiano

ngoja nikwambie smile.. hawa wakaka unaenda nao taratibu, tena from the first day unatoka naye mweleze mipango yako ya baadae na mwambie kabisa kuwa ngono kwako ni kitu cha mwisho kufanya u are keeping it for your future hubby so kama atakuwa ni yeye its ok. hapo ajipime mwenyewe kama ataingia au vipi.

pia angalia watu wa kudate nao , toka na watu ambao tayari wanaanza kuwa na mawazo ya kimaisha siyo kajivulana kametoka chuo tu ambako hata future hajui anawaza tu kwenda club a kwenye shows basi. angalia mtu amabaye amepevuka na nirahisi kumuona siku ya kwanza tu.
 
we mrembo achana na mawazo ya kuolewa..........

Siku hizi hakuna mwanaume wa kwako peke yako kubali ukatae
habari ndo hiyo....................
mi siwazi hata kuolewa .... I wish ningekuwa na rafiki wa ukweli dada yangu ila sipati waanangalia tu k yangu na mimi sitaki.....
 
hivi unatafutaje mwanaume anayekupenda, wanakuwa na character zipi hawa wenye upendo wa dhati
 
mi siwazi hata kuolewa .... I wish ningekuwa na rafiki wa ukweli dada yangu ila sipati waanangalia tu k yangu na mimi sitaki.....

Huyo hutampata for your information my sister trust me....

Wengi siku hizi wanaangalia kipato ukiwa nacho wewewe acha mchezo watapishana hao...................
 
Back
Top Bottom