nyuma sitikisiki hata mbele ishindikane .. loh
japo kiukweli havipendezi kabisa ila hata sisi hatupendi vinakuja byenyewe baby asubuhi kaninunulia mtori na chapati moja/... mchana kukulabda chips au wali.. jioni nyama choma tena nakula saa nne usiku na kabia juuu uwiiiii lazima tu kije
vitambi bora vibaki kwa wakaka,,,,,,,,,,,,,fullll stop
vitambi vinatokana na mchemsho na bia za bure
Unapo amka Asubuhi Fanya zoezi basi khaaaa!
haya nitaacha kidogo
Kitambi kwa Mwanamke ( Msichana0 siyo Deal Kabisa; Ila kama Ulivyosema Kuna Kigine Kinapendeza Kidezini lakini hiki ni Lazima Huku Nyuma Pawepo na Mbinuko Kusupport body. Siyo Siri Kitambi Ni Bundi Kikiwa kwa Mwanamke anayesanya sanya.
kila la heri miss chagga
nyuma sitikisiki hata mbele ishindikane .. loh
japo kiukweli havipendezi kabisa ila hata sisi hatupendi vinakuja byenyewe baby asubuhi kaninunulia mtori na chapati moja/... mchana kukulabda chips au wali.. jioni nyama choma tena nakula saa nne usiku na kabia juuu uwiiiii lazima tu kije
yah vinapendeza sana, haswa salio likiwa linasoma
kitambi changu kikuboe wewe?
aarghh kama waona siyo size yako si unaondoka tu!!
Ha Ha Ha Ha Ha Hasiku hizi wadada kama wakaka, mdada unakutana nae ana kitambi, ndevu na wengine hata sauti kubwa kama wanaume!
uwiii miss chagga umesahau na ka-mbege vitochi viwili jamani!