Wadada wenye vitambi wanaboa



mama yako hana kitambi???????.
 
Vitambi vya wadada ni vigumu kuondoka labda kwa maombi...
 
Kama una mwanamke mwenye kitambi na hukipendi na umeshindwa kukiondoa


YOU HAVE FAILED AS A MAN
 
Yani kuna mtu anavoniomba kukidhibiti maana ndo kinaanza hana amani.Sijui nifanyeje kisishamiri.
 
Hii ina kiukwelii da ngoja nianze diet, asante kwa kunisaidia
 
Tena wanaopenda kuvaa suruali na nguo za kubana bana ni kama comrdians aisee
 

we mtoto! mbona unawadanganya mabinti wa watu wakati wewe mwenyewe mbele ni flat!
 
Kitambi kwa Mwanamke ( Msichana0 siyo Deal Kabisa; Ila kama Ulivyosema Kuna Kigine Kinapendeza Kidezini lakini hiki ni Lazima Huku Nyuma Pawepo na Mbinuko Kusupport body. Siyo Siri Kitambi Ni Bundi Kikiwa kwa Mwanamke anayesanya sanya.

Nadhani kitambi ni kunguru kikiwa kwa mwanamme..anyway kwa nini kitambi cha mwanamke kukuboe? si anacho yeye?
 
Vingine vya asili jamani tangu mtoto kitambi kipo Leo hii nakitoaje......as far am comfortable with my body that's your own problem
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…