Wadada wenye 30+ wanatia huruma


Mkuu usiwe na dhana ya kumtegemea sana mwanamke eti yuko vizuri kiuchumi siyo tegemezi. Hao wawezeshaji huwa wanakula muda wote. Haya mambo yana siri sana na wanaume wahanga ni wale wapenda mteremko.
 
Kuna under 30 wametumika mara mbili zaidi ya wenye 30 na wana watoto juu nandio unaowaona wanafaa hahahah kunauwezekano wa wavulana kutojua tunaitaji nini
 
menopause 30? mbona bado mdada mbichi kabisa anaweza kupata mume akaolewa na maisha yakaenda na mtoto juu
 
Mkuu usiwe na dhana ya kumtegemea sana mwanamke eti yuko vizuri kiuchumi siyo tegemezi. Hao wawezeshaji huwa wanakula muda wote. Haya mambo yana siri sana na wanaume wahanga ni wale wapenda mteremko.
Cjamaanisha kumtegemea mwanamke wa miaka 30 na kuendelea. Ni kwamba wengi wao wanajua nini maana ya maisha, kufanya shughuli yeyote ile ya maana ya kumuingizia kipato hata kama 5000 kwa wiki kama ajira imekuwa ngumu simaanishi kuuza K. Na siyo kila kitu kumtegemea mwanaume tofauti na hao wa miaka 18 sijui 20 mnaowaona wabichi kwa mitazamo ya baadhi ya vijana wa sasa hivi. Hata kama binti wa miaka 30 ukimkuta bado yupo kwao lakini utakuta na kijishughuli chake cha kukuingizia kipato hata kama kukaanga mihogo angalau na yeye maisha yaende siyo tegemezi 100% wengi wa wadada wa miaka 30 na kuendelea huwa na maisha yao na kwenye vyumba vyao na pia wanajua nini maana ya maisha, Na wakipenda wanapenda kweli na ni watulivu na wasikivu japo siyo wote. Lengo lao kubwa ni kupata mwanaume wa kujenga naye maisha na hata ukikosa ela wavumilivu sana. Ila sijasema usimuhudumie mahitaji yake hususani akiomba msaada au chochote kile cha kumsapoti kwa kile ulichonacho kulingana na uwezo wako. Na pia hata ukikosa siyo ishu sana kwao wanajali utu na ni waelewa baadhi niliokutana nao. Tofauti na hao wa miaka sijui 20 pasua vichwa tu
 
Noted!
 
Siku hizi siyo umri tena.. Ni hali ya maisha hupelekea wadada wengi kuwa desperate...

Cc: mahondaw
Smart911 kama na wewe umeunga mkono hoja basi itakuwa utafiti wangu uko vizuri. Maana ww ni mtetezi nzuri sana wa akina dada
 
Mkuu..
Kifupi hayo ni mawazo yako na mitazamo yako binasfii..
Ukweli kila mmja/mtuu anajua serkali ya maisha yake hivyo usiassume na kutoa judgement..sababu unaonyesha ulivyo na akili nyepesi..

Tuwaheshimu dada zetu, mama wa watoto zetu kiujumla jieshimu ili uweze kuwaeshimu..
 
Kama hujiombei haiwezi kukusaidia st. Augustine anasema hivi "GOD CREATES YOU WITHOUT YOU AND HE WILL NOT SAVE YOU WITHOUT YOU" maombi ya watu bila wewe ni kasi bure..
 
Aisee umewatukana WANAWAKE WOTE,hasa sentensi zako za mwisho kabisa.
Respect them as human being
 
Kama hujiombei haiwezi kukusaidia st. Augustine anasema hivi "GOD CREATES YOU WITHOUT YOU AND HE WILL NOT SAVE YOU WITHOUT YOU" maombi ya watu bila wewe ni kasi bure..
Sio kwamba hawa watu hawajiombei, wanaomba sana tena
usiku na mchana.

Lakini kuna ndugu zetu kutwa ni kuwasimanga, kuwanyanyasa na kuwatumia watakavyo pasipo huruma.....yatupasa kuwaombea kwani hatujui ni mangapi walipitia na wanaendelea kuyapitia kufikia hapo walipo. Maneno yetu yamekuwa mwiba mioyoni mwao badala ya kuwa faraja kwao.

Kuna wadada waliosingle leo hii baada ya kufiwa na waume zao. Unapomsimanga na kujisifia kumtumia utakavyo,unazidisha msiba moyoni mwake.

Kuna waliosingle kwa sababu za kiafya, unapowasimanga unazidisha huzuni mioyoni mwao.

"USIFURAHI JUU YANGU by UPENDO NKONE"
 
Umeongea kiume man. Atakaye pingana na mawazo yako mtazame tu kisha mwache apite
 
aliyeliwa liwa sana,ambaye kashatenda mtu huko so anajua maumivu ya kutesa mtu mpaka akajifunza maisha ya mahusiano
Mkuu hata hawa serengeti washaliwa liwa japo siyo mara nyingi kama wahenga. Wahenga wameliwa mara nyingi mpk k imeishiwa ute.

Na kuhusu kutenda na kutendwa hata Serengeti wanayajua maumivu ya kutenda na kutendwa. Kwani inabidi MTU atendwe mara 100 ndipo ajifunze? Kwahiyo kuoa muhenga ni sawa na kuoa msukule wa hisia za mapenzi. Yaani nina maana muhenga hisia zake zilishaga kufa siku nyingi sana
 
Kuna under 30 wametumika mara mbili zaidi ya wenye 30
Haiwezekani kamwe mdada 20 yrs awe amegegedwa mara mbili zaidi ya 30+. Labda kama unaongelea wanaojiuza.

Chukulia kwamba unamuona mdada anayestahili kuolewa ktk mtaa X na mwenye 30+ ktk mtaa huo huo. Sasa hawa ndiyo tunawaongelea.

Nakazia kwa kusema lingqnisha mwenye maadili na mwenye maadil, chakaramu na chqkaramu. Mfano. Linganisha anayejiuza mwenye 30+ na anayejiuza mwenye 20. Dada anayeonekana "katulia" kitaa mwenye 30+, na mdada anyeonekana "katulia" kitaa mwenye 20.

Lazima muhenga atakuwa hafai, hafai kqbisaaaa.
 
. Na pia hata ukikosa siyo ishu sana kwao wanajali utu na ni waelewa baadhi niliokutana nao. Tofauti na hao wa miaka sijui 20 pasua vichwa tu
Nina migegedo 2_mkuu. Mmoja under 20, hana usumbufu kabisaaaa. Huyu wa pili ambaye ana 32 alizalishwa sijui na mjanja gani. Ni msumbifu huyo!!! Mara kodi, mara Luku, mara unga, mara mafuta. Yaani haiishi wiki anapiga kizinga. Kwahiyo unachosema siyo kweli
 
Wapo wa aina 2..ya kwanza ni wamesoma mambo magumu sn mpk wamesahau majukumu yao ya kijinsia hao hawana shida ukipata we oa tu...wa pili wanatabia za ajabu na wametombeka mpk sufu zimewatoka na wameloga kwa waganga wote tanzania na badoooo hali si shwari...hawa achana nao kbs
 
Mimi wa kwangu nimemzalisha mwenyewe. Na sasa naishi naye ila Pamoja na yote ana kazi yake na vibiziness vya kujiongezea kipato na vilevile nilimkuta tayari ana maisha yake kwahiyo sioni hasara kumumuhudumia kwa nilichonacho kulingana na uwezo wangu. Kwa kifupi ni mtafutaji hata nisipolipa kodi anajua mwenzangu hali imebana analipa mwenyewe. Nikipata simtupi tupo pamoja. Waswahili wanasema mtaka cha uvunguni sharti ainame.,na Ukipenda boga penda na ua lake. Siyo kisa kuzalishwa ndiyo ushindwe kumpa mahitaji yake pindi anapokuwa na shida. Hata kama anataka milioni na wewe uwezo huo huna mwisho laki mbili basi chamsingi umsapoti hata robo kama siyo nusu au mazima kuliko kumtumia na kumaliza haja zako halafu umwache solemba itakuwa ni udhalilishaji huo.

Ukigundua unafanywa kitega uchumi na mwanamke ambaye ajishughulishi kwa chochote hata ukimpa mtaji hakuna cha maana anachofanya jua huyo siyo saizi yako chapa mwendoooo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sawa mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…