Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,755
- 1,734
Jana kuna dada mmoja nilikutanishwa nae ili nikamuonyeshe mzigo flani anahitaji. Nikampigia simu akasema niko sehemu flani nimfate na nikafanya hivo.
Kufika tu Hatujuani, ndio tunaelekea sehemu kwa ajili ya biashara lakini ndio mara ya kwanza kuonana.
Kaingia tu kwenye gari kalaza seat, oooh nimechoka. Pamoja na kwamba naendesha ila unataka nikueleweje?
Yaani umezoea sana magari? Umedhalau gari yangu? Unataka kupumzika? Au unaforce mazoea mbali na biashara?
Nimeenda naangalia kifua na miguu mtu anajidai kasinzia tukifika nimwamshe.
Nimeshangaa hata nikashindwa kumwelewa. Anyway asante dada we mbabe!!