Wadada wengi hawajisafishi

Duu nyie huko kuchimba chimba migodi,mingine mtatitimia humohumo mtazikwa humohumo ama kukatwakatwa na ncha Kali iliyojificha huko
 
Mchafu analalamikia uchafu na hataki kuacha uchafu
 
Huyo kaamua kuchoza tu wala siyo kwamba hajui.
Mimi hata kabla sijaoa yaani nikiwa mvulana hayo nilikuwa hata sishangai.
 
Aliyeumba hicho kitu kajizolea maua yake mengi sana.

Imagine watu wanahonga mahekalu kisa pale chini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakika tumuache muumbaji wa vyote, but huwa nafikiria sometimes aliwaza nini kuweka hivi why not vile , ila naishia kusema vyote ni kwa utukufu wake. Let's enjoy 😆
 
Hakika tumuache muumbaji wa vyote, but huwa nafikiria sometimes aliwaza nini kuweka hivi why not vile , ila naishia kusema vyote ni kwa utukufu wake. Let's enjoy [emoji38]
Kwa maoni yako ilitakiwa iweje kwani?[emoji2][emoji2]

Kama wewe ungeipewa hiyo kazi ungeboreshaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…