Sikuhizi kujifungua kwa kisu imekua mtindo pendwa ila ndio chanzo cha vitambi mdebwedo japo ukizingatia tumbo huisha ila wengi wao waliofanyiwa upasuaji ili wapate mtoto wanakua na nyama za tumbo zilizolegea mpka wazibane. Madai yao wanakuambia mashine ibaki kama ilivyokua wakati mzigo unavutika na kurudi kulingana na hali ya mwili