Pokea sifa zako mapemaawapiππππ
Kuanzia sasa kila post/comment yako ujue naifatilia, uje selfika basiπHaya bhanaπππ
Mi' nitaanza ku-like kila post na reaction yakeKuanzia sasa kila post/comment yako ujue naifatilia, uje selfika basiπ
Mkuu huyu mtoto ni mrembo ila watu hawajui tuMi' nitaanza ku-like kila post na reaction yake
Mwandiko wake unasadifu yaliomo, kama angekuwa haja-lock PM tungeenda kumpa hi! πππMkuu huyu mtoto ni mrembo ila watu hawajui tu
Mkuu nakuachia useme nae utanipa reportπMwandiko wake unasadifu yaliomo, kama angekuwa haja-lock PM tungeenda kumpa hi! πππ
Usihofu kwa jinsi alivyo na moyo wakutoa likes na reaction nadhani hata moyo wake ni mweupe kabisa...guessing πππMkuu nakuachia useme nae utanipa reportπ
Usikate tamaa safari ya PM uwa inaanzia hapa kwenye commentsπUsihofu kwa jinsi alivyo na moyo wakutoa likes na reaction nadhani hata moyo wake ni mweupe kabisa...guessing πππ
Hapo inabidi ufunge tumbo na mnatiMie na demu wangu sote tuna vitambi,sasa shughuli tukilaliana, vitumbo vinagusana, halafu VIKOJOLEO vinakosa gravitational force π€£
Ametoa mtazamo tu, mbona na wewe ume-catch kwa haraka sana?Hivi inakuaje mtu unakereka na mambo binafsi ya watu??
Haiwezekani bana ungepost pic wangedata wote paleHuko selfika nlishindwa kabisaπππ
Hahaha nimekuachia mkuu, msg zinaenda kweli?Mkuu vipi si ulisema unaniachia nije kukupa mrejesho, mi' meseji hazijibiwi huko PM unamuweka bize mrembo wetu Leejay49 π₯°