Dah wanawake kabla hujaolewa unakua kondoo ukiolewa unakua chui,mnatupa shida sisi mawifi roho inauma ila tukiaema mnasema si wakorofi....wakaka kuweni makini na wanawake mnaochagua kuwa wake
Unaonaje
ha ha ha ha wewe unaonekana mkorofi
Mmh!! Mazoe na hizo adha na kero ndiyo Kama chai bila sukari...Ndio uhame sasa
Kila mwanadamu ni ndugu wa mume,hata wewe ni ndugu wa mume huko kwenye familia yako. Vipi roho yako ikoje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mawifi kwa wivu na gubu!![emoji134][emoji134][emoji134]
ha ha ha kwa nini
Lakini akaniona mimiKabisa kwani kabla yako si walikuwepo wengine
ha ha ha kwa nini
Hawa viumbe acha tu, ndo mana tumeambiwa tuishi nao kwa akili.Aisaee !! Naona Kama tunaishi nyumba moja... Maana kilasiku (nimenuniwa, amevimba hasemi nsmi akisema NI ukali tu)!!