Wadada wapumzisheni kaka zetu

Dah wanawake kabla hujaolewa unakua kondoo ukiolewa unakua chui,mnatupa shida sisi mawifi roho inauma ila tukiaema mnasema si wakorofi....wakaka kuweni makini na wanawake mnaochagua kuwa wake

Ni kawaida yenu wanawake huwa hampendani, ni hii inatokana na mwanamke akiolewa anataka kuimiki nyumba ili hali ndugu haswa mawifi mnataka kummiliki mke wa kaka yenu. hiyo ni nature vumilia tu na wewe kuna siku utakuwa wifi na utalaumiwa.
 
Pambana uolewe kwanza. Inakuwaje unamuonea gere wifi yako? Pumbavu kabisa. Ungekuwa dada yangu ningesha kunasa vibao

Elewa concept sio kukurupuka kucomment kwabahati mbaya sio dada yako jeuri hiyo huna
 
Ni kawaida yenu wanawake huwa hampendani, ni hii inatokana na mwanamke akiolewa anataka kuimiki nyumba ili hali ndugu haswa mawifi mnataka kummiliki mke wa kaka yenu. hiyo ni nature vumilia tu na wewe kuna siku utakuwa wifi na utalaumiwa.

Inawezekana ila kwenye ukweli lazima usemwe huwezi fumbia macho kwa kuhofia kuwa ni wifi utachukuliwa vby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…