hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,396
- 80,358
lol ..sawa na wewe pia'.. kesho nitakutafuta "...Haaaa haaa huko wananunua mb
Uwe na usiku mwem
lol ..sawa na wewe pia'.. kesho nitakutafuta "...Haaaa haaa huko wananunua mb
Uwe na usiku mwem
Cc KasieKuna waliozoea kusema kwani kuolewa ndo dili watakuja hpa.
Kwani huyajui makina naniiii....duuhh kwani humu Yapo. ""??
Jf hakuna mdangaji hata mmoja. Ebu waombe radhi.Umenena vyema sana ila nina MASHAKA NA HAYA MADANGAJI KAMA YATAKUELEWA
Hao wa hivyo ujue alishawahi kuolewa akaachika au ameona maisha yake hayatamzawadia mume kamwe, kwa hiyo anaishia ku diss tu.Kuna waliozoea kusema kwani kuolewa ndo dili watakuja hpa.
Mbona hii excuse raia wanaipenda sana.Kila mtu ana life style yake aliyoichagua so usimpangie mtu maisha ya kuishi, unaweza olewa na mwanaume kapuku leo mkasaidizana kuzisaka pesa ila baada ya kuzipata asikuone tena wa maana akawaona wa maana hao wadangaji na kuzifuja huko
Kabisa Mkuu amini haya maisha kma mwanamke ataachwa kwasababu moja ama nyengine ila kma atakua na hulka nzuri basi lazima waume watakuja au hta kma hujaolewa ila kma unatabia nzur pia ataolewa inategemea na mda mungu atakaemletea huyo mume.Hao wa hivyo ujue alishawahi kuolewa akaachika au ameona maisha yake hayatamzawadia mume kamwe, kwa hiyo anaishia ku diss tu.
hahaa let me save a breathKwani huyajui makina naniiii....
hahaaacopying and pasting without acknowledging the source is strictly forbidable
hahaa AiseeHao wa hivyo ujue alishawahi kuolewa akaachika au ameona maisha yake hayatamzawadia mume kamwe, kwa hiyo anaishia ku diss tu.