Wadada wanavyojiweka mbali na ndoa

Wadada wanavyojiweka mbali na ndoa

M
Mshukuru Mungu hakuja yawezekana ungekuja kujuta sana mbele ya safari. Mifano mingi tunayo haswa kwa mabinti wa umri huo ni hatari ndugu yangu
Mabinti wa early twenties wanajionaga cake kweli, mwisho wa siku wanakuja kung'ang'ania kuolewa na muuza vyungu!
 
Mwanamke akishasema hana Nauli namvua vyeo vya kuwa wife.

Mwanamke unakosaje buku mbili. Siku nyingine usimtumie nauli mwanamke tena kama ndio mpo stage ya awali
 
Kusema ukweli wanawake wa kuoa ni kuanzia miaka 28. Huyu anakua kuna umbwe flani kashalipata na anakua anataka ndoa kweli sio kwenda kujaribu
Huo umri utakuta ana watoto wawili halafu baba tofauti utaoa kweli sheikh heri wadada wa miaka 25
 
Ile pesa haukuniuma sana bali niliumia kumpoteza yule binti na zaidi naumia kuona kuwa sisi wanaume tuna mtihani mkubwa katika kutimiza hili lengo.
Kwa waliofanikiwa kila la kheri
Nimekuelewa sana mkuu, pole sana, pengine kakuchukulia kuwa hata wewe ni walewale tu, Mi nadhani usikate tamaa endelea kumfuatilia ili umfahamu japo kidogo maadam una namba yake.
 
Back
Top Bottom