Wadada/wamama tu!!!tuwajali wenzetu hata baada ya ndoa

hahaha soxy zisizofanana alivaa mwenyewe au aliveshwa? Na huyo mwanaume kazidisha singlend imechoka anaivalia nini? Ina maana haoni? Huyo mwanaume ni mchafu tu

ni kweli ni kutudhalilisha tu...ila comment yako kwenye uzi wa kiritimba nimecheka sana uko na mawazo ya kiintelijensia... bravo
 
hio huduma ya kwanza inayotolewa kwa kumsalula mgonjwa???mie hii hadith siiamini,ulitaka kupaka tu wadada wa watu....pole,kama umeamua kuishi maisha ya kitumwa ya kumfulia mumeo boxer na kumbrashia viatu...ila usitake kuimpose everywoman should do that,kuna watu na ndoa zao miaka tele na hawajawaho kufanya huo upuuzi...shaurilo.
 
Mi nshasema mwanaume kama kilema wakati ana mikono na miguu miwili kwa kweli ni mzigo. Kwanza kabla hajaoa alikuwa anaishije mpaka leo mkewe abebeshwe lawama. Mtu mchafu ni mchafu tu; na wanaume wasafi ni hulka zao wala msiwape credit wake zao wala nini. Mimi mume wangu ni extra smart lakini credit zote ni zake kwani hata nikiwa mbali for a year hawezi vaa nguo chafu.

Wanume wengine mzigo.

Ishu ya usafi unamuhusu mtu mwenyewe,wala co mke. Yeye anashindwa kufua nguo au kupasi?na kununua nguo pia anashindwa?c bora hata akaye na mfanyakazi amsaidie kama yeye yuko busy??? Shame on him!!!
 
hili jibaba lichafu hasaaa.....kwani halina mikono au ndo ile mijanaume kama milemavu
 
hio huduma ya kwanza inayotolewa kwa kumsalula mgonjwa???mie hii hadith siiamini,ulitaka kupaka tu wadada wa watu....pole,kama umeamua kuishi maisha ya kitumwa ya kumfulia mumeo boxer na kumbrashia viatu...ila usitake kuimpose everywoman should do that,kuna watu na ndoa zao miaka tele na hawajawaho kufanya huo upuuzi...shaurilo.

Mimi sio Dr. lakini swala la kuvuliwa nguo wakati wa huduma ya kwanza linawezekana sana................... suppose mgonjwa ana tatizo la kupumua, kumvua nguo ni jambo la busara sana...................
 
Jamani mnasema tu, mwanaume bila kumsimamia?! Unaweza shangaa, ni wavivu wa usafi hao.

Tena sehemu zenye baridi hata kuoga lazima umkumbushe la sivyo anapitisha siku, sembuse soks
Hebu kumbuka Gbagbo alikutwa kavaa vest ya ndani imelegea afu ndefu kama shimizi.

Afu aibu ya mme inaenda kwa mke, ndo maana hata ukimfuma laivu usije piga kelele muue kimya kimya
 
Ushasema hujaolewa mambo ndoa huyajui wewe subiri muda wako ukifika utafanya hayo uyaonayo yanapaswa kufanywa na mke. Sawa mamaa!
 
Swala la usafi ni la mwanamke,ila mwanaume anatakiwa ajiongeze hata kama mke hamjali yeye kama yeye anatakiwa kuwa msafi. Ila pia kuna wanaume ni wakorofi sana mke anaweza mtayarishia nguo vizur yeye akaamua kuvaa vitu vingine kabisa kisa ndio anaypenda
 
Huyo mwanaume hajijali

Kama angejijali asingesubiri mkewe amjali

Hata boxer

Uchafu wake tu
 
Back
Top Bottom