Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
mejaa teleeeeeh!
una kichaa hakyanani. unataka kukaa na wanawake na kucheka nao, wakipika hutaki kula! au unaogopa limbwataz?
Nafurahi kusikia upo teleeee! Hata kukaa nao nakucheka nao sipendagi pia labda ukiwa wewe
Habari Wadau!
kwanza naanza na samahani kwa wadada watakao kwazika nahili. Mimi sijui ni kwanini lakini huwa najikuta siwezi kununua mahindi ya kuchoma kwa wachomaji wanawake.Huwa naona kama yatakuwa sio matamu na sijui ni kwanini.Walaji naomba kujuzwa huwa yanakuaje.
Unamaanisha hata mimisa au sijakusoma vizuri?
Ahhhhhhaaa kwa hiyo huyo umemxclude eeehhh hapo sawa banah kidogo nishtuke.
daaaaaaahhh sasa kwa nini?
Haaaaaaaahaaaaaaahaaaa haya bwanah mdogo na unavyojua kuliplilia penzi lako na mimisa,haya banah msalimie.
Haaaaaaaahaaaaaaahaaaa haya bwanah mdogo na unavyojua kuliplilia penzi lako na mimisa,haya banah msalimie.
Shem wako kwa nani?
kigozi manyoya au muwa uliozamisha meliplz educate me!papuchi ndio nini??
Usisahau mchoma mahindi mwanaume akibanwa na suusu anajisusuuuu kichakani anajishika Bila kunawa.