Brainy Chick
Member
- Mar 9, 2013
- 64
- 21
Mahindi hamnunui.
Ila papuchi...
Plz educate me!Papuchi ndio nini??
umri huo hujui...?
mie hata chakula kilichopikwa na Ke hua sijisikii kula kabisa
Acha mambo yako!Kwa hiyo hata ur mum or wife akipika haujisikii/
Chakula ninachoweza kula kwa furaha na moyo ukafurahi ni anacho pika mama yangu tu na hata ninapo kuaga home hua yeye au mimi ndio tunatoa vitu.
mie hata chakula kilichopikwa na Ke hua sijisikii kula kabisa
kujishaua tu
Mimisa akipika mbona unakula!
Acha mambo yako!Kwa hiyo hata ur mum or wife akipika haujisikii/
Plz educate me!Papuchi ndio nini??
mie hata chakula kilichopikwa na Ke hua sijisikii kula kabisa
Hivi waziri mkuu wa uingereza anaitwaje vile? Cameroun, ee?
Ni aina fulani ya chakula kipikwacho kwa maboga mkuu.
Ndio sijui kaka!
Shem umenifurahisha sana! Mzima weye?
Kwani mama yako ni ME?Chakula ninachoweza kula kwa furaha na moyo ukafurahi ni anacho pika mama yangu tu na hata ninapo kuaga home hua yeye au mimi ndio tunatoa vitu.
Kwani mama yako ni ME?