Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Kwa mtu mwenye akili punguaani na mwenye kuendesha maisha kienyeji bila kufuata taratibu ataona hiyo Sh 200 ni ndogo..
Bora wewe umezungumza, kama wewe ni mtafutaji, huwezi kupuuza hela eti kwa vile ni ndogo kama 200 kwa kutafuta sifa za kienyejienyeji tu. Bora utoe hata milioni kwa kupenda kuliko kukatwa hata 100 kwa lazima. Tip ya kuforce inaudhi sana, ni kama dharau Fulani hivi.