WADADA WA MJINI SINGLE MOTHER NI HATARI

WADADA WA MJINI SINGLE MOTHER NI HATARI

Ukizubaa dakika mbili wameisha kuchinja 🤣🤣
 
Moja kwa moja kwenye mada

1. Jamaa kakutana na mdada ktk nyumba ya kupanga, kisha wakaanzisha mahusiano japo awali huyo dada alikua akinata sana dhidi huyu Mwamba, lakini ghafla kaingia na mapenzi yakaanza.

2. Tulikua tukiona huyu Binti akiingiza wanaume tofauti tofauti room kwake ktk siku za nyuma kidogo tu na huyo jamaa anajua hilo, lakini nadhani jamaa akapiga moyo konde kwa sababu anampenda maana mapenzi ni kuwekana sawa na watu wanaweza kuishi maana binadamu hubadilika

3. Wakiwa ktk mahusiano ni mwezi tu tunahisi jamaa anaghalamia chakula na mambo kadhaa kwa huyu binti, lakini Binti ni mtu wa club sana na mapombe, muonekano wake ukimtazama Kwa macho haufanani na mambo hayo , lakini tunahisi sometimes wanagombana sana maana mshikaji ni mtutulivu kama mwanaume na anafanya kazi za shirika nzuri tu kiasi tunaona hana shida sana za kusema hawezi kwenda akafanye starehe, lakini ni mtu anayeingia ndani mapema sana na anapaki kigari chake kidogo na anazama ndani analala zake,kwa sasa wako na Ile pika upakue tule, lakini mshikaji anaweza kuona tu mwanamke hayupo na anarudi usiku wa manane sana, wakati mwingine tunasikia kama kelele fulani, mala kadhaa mwanamke anatoka anaenda kwa mabasha wengine na kunywa mapombe huko na anarudi saa saba mpaka saa nane za usiku maana akifungua geti hua tunasikia, na jamaa yake anakuwepo ndani kalala zake

5. Mshikaji nadhani ni mvumilivu sana, mwanamke akifanya hivyo hua tunajua hawa wataamka wameachana, Cha ajabu wanaamka kufata chakula sokoni waje wapike, baadhi ya wanawake washikaji zake na huyu dada wanamponda sana mwenzao wakisema anadhani mume sijui hua anapatikanaje, maana ni kama anamchezea akili mshikaji, wanaamini mshikaji atajitoa siku si nyingi.

Hatujui wadada wa MJINI hua wanatafuta nini, ni kama hawaeleweki, mtu yupo town, hajulikani anafanya kazi gani, anapata mwanaume anamhudumia halidhiki, ni mtu wa tamaa, na alisha zalishwa na mtu ambaye haishi nae, wanawake mna nini????
Na wewe unawafuatilia ili upate nini? Unataka aache kumzagamua huyo dada aje akuzagamue wewe?
 
Sema masingle mother wako vzuri Sana , Ila kumweka ndani single mother ni deadly mistake na inaweza kukugharimu parefu sana
 
Niulize ushawai kupewa mkund mleta mada. Achana na iyo kitu inakamata wengi sana.
 
Moja kwa moja kwenye mada

1. Jamaa kakutana na mdada ktk nyumba ya kupanga, kisha wakaanzisha mahusiano japo awali huyo dada alikua akinata sana dhidi huyu Mwamba, lakini ghafla kaingia na mapenzi yakaanza.

2. Tulikua tukiona huyu Binti akiingiza wanaume tofauti tofauti room kwake ktk siku za nyuma kidogo tu na huyo jamaa anajua hilo, lakini nadhani jamaa akapiga moyo konde kwa sababu anampenda maana mapenzi ni kuwekana sawa na watu wanaweza kuishi maana binadamu hubadilika

3. Wakiwa ktk mahusiano ni mwezi tu tunahisi jamaa anaghalamia chakula na mambo kadhaa kwa huyu binti, lakini Binti ni mtu wa club sana na mapombe, muonekano wake ukimtazama Kwa macho haufanani na mambo hayo , lakini tunahisi sometimes wanagombana sana maana mshikaji ni mtutulivu kama mwanaume na anafanya kazi za shirika nzuri tu kiasi tunaona hana shida sana za kusema hawezi kwenda akafanye starehe, lakini ni mtu anayeingia ndani mapema sana na anapaki kigari chake kidogo na anazama ndani analala zake,kwa sasa wako na Ile pika upakue tule, lakini mshikaji anaweza kuona tu mwanamke hayupo na anarudi usiku wa manane sana, wakati mwingine tunasikia kama kelele fulani, mala kadhaa mwanamke anatoka anaenda kwa mabasha wengine na kunywa mapombe huko na anarudi saa saba mpaka saa nane za usiku maana akifungua geti hua tunasikia, na jamaa yake anakuwepo ndani kalala zake

5. Mshikaji nadhani ni mvumilivu sana, mwanamke akifanya hivyo hua tunajua hawa wataamka wameachana, Cha ajabu wanaamka kufata chakula sokoni waje wapike, baadhi ya wanawake washikaji zake na huyu dada wanamponda sana mwenzao wakisema anadhani mume sijui hua anapatikanaje, maana ni kama anamchezea akili mshikaji, wanaamini mshikaji atajitoa siku si nyingi.

Hatujui wadada wa MJINI hua wanatafuta nini, ni kama hawaeleweki, mtu yupo town, hajulikani anafanya kazi gani, anapata mwanaume anamhudumia halidhiki, ni mtu wa tamaa, na alisha zalishwa na mtu ambaye haishi nae, wanawake mna nini????
Huyo ni zoba pro max
 
Mleta mada alivyo wasilisha mada yake kashindwa kuisema vyema.Sasa anaonekana mbea.
Ungepangilia wana Jf Wasingekuita mbea.
 
Back
Top Bottom