Wadada wa Kichagga mpo juu, lakini....

Ramos, update ur database!

Mambo uyazungumayo ni ya kizazi cha wale wa nyuma. Sasa hivi ukigusa tu utanogewa maana wanajua kama wangoni, hehe na wengine nguli ktk medani hiyo.
 
kwa kizazi hiki cha sasa sidhani kama kabila la mtu linaendana na matendo yake,watu washachanganyika sana,wamezaliwa sehemu mbali na origin yao,wengine hawajui hata huko ''kwao''.Namshangaa mtu ambaye hadi leo atakuwa CONCERNED na kabila.
Mbona wewe hupendi wachaga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…