cheki mitoto ilivo mizuril,, ngozi laini nyuso safi,, hafu inagonga mikitu hiyo, thanks God nina dada wanajiheshimu maana ningekuwa chizi nami,, nilitembelea jiji la Arusha kuna haka kamtaa hapa florida,, chini ake ka unaenda stendi kushoto kwako apo mida ya 1800hrs madada wanajikoki niaje,, afu mitoto mizuri hadi nikahis kucry mazee e Mungu tuonee huruma