Wadada wa kazi ni balaa

Wadada wa kazi ni balaa

Ukweli1

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
550
Reaction score
333
Ukiona yanayotokea kwingine ndio unajifunza kuappreciate nchi yako. Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania.

HARARE - A domestic worker has gone on trial in Zimbabwe for allegedly killing a 10-month-old baby she was looking after by stuffing him into a drawer, the Chronicle reported on Wednesday.

She allegedly wrapped baby Ethan Phiri in a blanket, put him in a drawer, closed it, and went to watch television. When she went to check on him three hours later, he was dead.

In 2012 an HIV-positive domestic worker from Masvingo, southern Zimbabwe, was sentenced to eight years in prison after she was found to have laced her four-year-old charge's porridge with menstrual blood.

Domestic worker in court for baby's death | eNCA
 
Wiki iliyópita imenibidi nimrudishe kwao kwa kumshtukiza yaani bila kuwambia maana nliona kwa miez 8 tuliekaa nae alikuwa amebadilika sana. Alianza kuonyesha kachuki na kiburi kwa mke wangu huku akionekana kunichangamkia kuliko kawaida na vituko vya kunitega vya hapa na pale. Ilinkera sana, nikakubaliana na mke wangu tumwondoe kwa sabcu ya kiburi na dharau japo sikumwambia vitimbwi kadhaa nlivofanyiwa kwa hofu ya kisasi kutoka kwa mke wangu kwa binti yule. Angalizo: akina baba tuwe makini na wadada wa ndani kwani usipo chukua hatua mapema waweza kuliswa limbwata na kuharibu familia yako .
 
Ukiona yanayotokea kwingine ndio unajifunza kuappreciate nchi yako. Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania.

HARARE - A domestic worker has gone on trial in Zimbabwe for allegedly killing a 10-month-old baby she was looking after by stuffing him into a drawer, the Chronicle reported on Wednesday. She allegedly wrapped baby Ethan Phiri in a blanket, put him in a drawer, closed it, and went to watch television. When she went to check on him three hours later, he was dead.

In 2012 an HIV-positive domestic worker from Masvingo, southern Zimbabwe, was sentenced to eight years in prison after she was found to have laced her four-year-old charge's porridge with menstrual blood.

Domestic worker in court for baby's death | eNCA

Mkuu wazazi wenye watoto wadogo kipindi hiki ambao wanahitaji hii huduma( ni muhimu sana kwa wazazi wafanyakazi) ya Dada wasaidizi nawaonea huruma sana. Wadada wamekuwa ni watu wa ajabu sana siku hizi. Hata wenye nyumba waonyeshe upendo kwao bado wana kuwa na akili mbovu dhidi ya watoto. Inasikitisha sana.
 
But now I thank God huyu wa sasa bado hajaanza vitimbi japo ana muda mchache tangu aje. Anaonesha mapenzi kwa wanangu kwa kuwajali pia nasi tunamjali kama mwanetu ili mambo yaende sawa .Thanx God.
 
Kwa kweli unakuta mtu una hamu ya kuzaa lakini ukiwaza hawa ma house gal yaani hamu yote inaisha hadi kizazi kinasinyaa kwa hofu. sina hamu na hawa watu kwa kweli.
 
Kwa kweli unakuta mtu una hamu ya kuzaa lakini ukiwaza hawa ma house gal yaani hamu yote inaisha hadi kizazi kinasinyaa kwa hofu. sina hamu na hawa watu kwa kweli.

Wewe hujataka kuzaa, pia mlezi mzuri wa mwana ni mamaye.
 
  • Thanks
Reactions: Kig
Kwa kweli unakuta mtu una hamu ya kuzaa lakini ukiwaza hawa ma house gal yaani hamu yote inaisha hadi kizazi kinasinyaa kwa hofu. sina hamu na hawa watu kwa kweli.

Kwani wanaokupa huo ujauzito ni hao mahouse girl? Wewe ubanjuke afu yeye abebe watoto na kuosha nepi?
 
Wewe hujataka kuzaa, pia mlezi mzuri wa mwana ni mamaye.

Kwa hiyo mtoto nitakuwa naenda nae ofisini???? kazi zenyewe kwa muhindi kuingia saa 12 asubuhi, kutoka saa 22 usiku.
si rahisi kama unavyosema, mimi ni mzazi naijua hiyo dhahama kaka, bora kusubiri mmoja ajitambue ili awe mlinzi wa mwenzie.
 
Kwani wanaokupa huo ujauzito ni hao mahouse girl? Wewe ubanjuke afu yeye abebe watoto na kuosha nepi?

Kwani unadhani Mungu mjinga kuwaumba watu katika madaraja?????? ndio maana kuna walio maofisini ambao watahitaji wasaidizi nyumbani, yeye anatumia nguvu zake kunifanyia kazi zangu na kunilelea, mimi natumia hela yangu niliyomtumikia boss wangi kumlipa yeye. hapo unasemaje??
 
ImageUploadedByJamiiForums1424887637.216346.jpg
Ukimcheweshea mshahara tu utakuta anabembea kama hivi achana kabisa na hawa watu wakiamua kukukomoa kupitia mtoto wako.
 
Mwanangu hatapitia kwenye mikono ya Hgs hata iweje.
 
  • Thanks
Reactions: Kig
Back
Top Bottom