mtoto akishaweza kwenda toilet mwenyewehow do you manage that?
Wewe unazo ngapi mpaka bado unafananya kazi kwa wahindi ?[/QUOTE
Ha hahaha, maskiniii weee!!! unaishi kwa kukariri. anyway haraka sana nimejua umri wako mweeee!
Yaani kweli utashi wako hapo ndio ndio mwisho?????? kwa style hii na wanafunzi wenyewe ndio wewe kwa kweli walimu wasikuhizi wana kazi sana.
Hilo ndilo kosa unalofanya kwa kukisia vitu ambavyo kwa uwezo wako huo huwezi kwa namna yoyote. Siamini hata mtoto wa darasa la saba anaamini uwepo wa daraja ambalo kazi yao ni uhouse girl.Ingekua umeanzisha foundation ya kuwapeleka shule mahouse girl ungepata support nzuri. Ila cha kusikitisha zaidi ni ilivyosema tena una elimu nzuri, labda ulipata degree za pichu na kigezo hichi ndicho kilichokupa kazi kwa hao wahindi.

Ha ha haa haaa Asanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Hata wakaka hakuna, ni mimi na family. Kazi zote nafanya mwenyewe. Mtoto anashinda shule ya watoto hadi jioni. Nikitoka kazi namchukua, maisha yanaendelea.
Mwanangu hatapitia kwenye mikono ya Hgs hata iweje.
usiseme hivyo wakati uzazi ungalipo, Muombe tu Mungu