Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,903
Oooh puliiiiz. Binti hasa aliyeumbika yupo hapo mbele yako mipaja nje nje wengine hata mbunye ilivyovimba waweza kuiona akijifanya anajigeuza au kuokota kitu halafu we rijali kabisa usipate japo hisia kidogo. Lazima uwe gwiji wa meditation au hanithi/shoga. Hata Mfalme Daud yalimshinda alipomuona bibie Bethsheba akijisopu sopu. Kwa vijana wengi huu ni mtihani mgumu sana. Hongera zako wewe uliye na uwezo wa kucontrol hisia zako. Pengine itabidi uanzishe thread ufundishe hatua za kufuata kufikia hiyo stage uliyofikia.Inawezekana mpangilio wa kanisa unaona ni sawa kutokana na mtazamo wa religious institution inayohusika. Inawezekana ni makosa ya hao wanaovaa hivyo. Labda mwanamke unakuta anaona kuvaa nguo fupi kunavutia, au ni style anayoona sio tatizo au kuona kuvaa nguo inayomsitiri sio kitu anachokipa consideration.
Lakini KWANZA iongoze akili yako wewe mwenyewe. Bado in your mind kuna tatizo. Ukiweza kuidhibiti akili yako kwa kudhibiti kinachoingia kupitia milango yako ya ufahamu kama macho, pua na kathalika hutaona tatizo la nje linakuathiri.
Ukiweka kuwa na akili imara katika tamaa zisizo na umuhimu, ungeacha kulalamikia mavazi ya watu kwa sababu usingeona ina adhari kwako. Na ungeenda kanisani kufuata kilichokupeleka.
Eti umwone kama huyu kajiachia kanisani halafu usiingiwe japo na kawazo kabaya halafu we rijali kabisa aisee utakuwa shujaa sana wa kiroho!