Wadada wa kanisani na mini sketi

Wadada wa kanisani na mini sketi

Shetani yupo hata makanisani akiwinda. Mimi huwa natafuta sehemu nyingine ya kukaa na nikikosa basi afadhali niondoke. Kuna mdada mmoja nadhani hata chupi hakuna nayo nilimwambia aondoke na jambo la kushangaza kweli akatii na kutoka nje.
asante nitaanza kutumia Huyo mbinu yako
 
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kusema kwambaaaa "kwa kweli nahisi nitaanza kuwa nawatongoza tu kwani uvumilivu unataka kunishinda" huko koote ulikua unazunguuka tu baba lup
ni mawazo tu boss
 
Wadada wanashusha hadhi yao wenyewe, kila sehemu wao wanadhani ni ya kutega, ukute mwingine kavaa gauni refu lakini lumemtight unaona kila kitu
 
  • Thanks
Reactions: lup
Daaaah Ila kweli Hawa Madada zetu sijui wanakuwaga na makusudi gani, kuna ibada moja nilishindwa kabisa kusimama na pia nkashindwa kabisa kwenda kutoa sadaka....yule Dada alinivuruga sana
 
Nshakutana na mmoja huyo anabonge la chura na kavaa kihasara hasara yaaani, kilichomuokoa nahisi ni huko alikokuwa anaenda maana sipendagi ujinga mm
 
Kanisani napo ni sehemu ya kuchagua wachuchu tu.
 
Braza hilo kanisa liko wapi, tualikane aisee tuje tumsifu allah kwa uumbaji wake
 
Binafsi nimepunguza mahudhurio kutokana na tabia hii ya wadada (wananitendesha dhambi sana, hasa ya kimawazo).....naweza toka home nikiwa nko clean kabisa kwamba leo naenda kusali katika roho na kweli.....lkn kuanzia njiani ninaokutananao wanaoenda ibadani mpk ndani ya kanisa wadada uvaaji wamefeli na wanatutesa (mini skirt, nyama nje nje...and the like)
Huwa naona ni bora nisikilize mahubiri kwenye radio na nijisomee maneno matakatifu ktk vitabu vya imani yangu, sadaka zote ntawasilisha kwa miamala ya kipesa.

TOO MUCH........
 
toka nianze kusali makanisa hasa yanayoongoza ibaada kwa lugha iliyokuja na ndege na Yale ya mjini kati,kuna kitu kiukweli huwa kinanipa shida sana hasa pale unakuta umekaa na mdada ana min sket inayopita magoti halafu na juu amevaa nguo inayoishia kiunoni tu.

Halafu unakuta hana hata kile kitambaa cha kujifunika hana.shida inaanzia pale anapoanza kuingia rohoni kwenye nyimbo za kuabudi,Mara ananyosha mikono,Mara anainama,Mara anapiga magoti...hapo kiuno nje na kama anashanga ndio basi tena akili inasoma mbali ya kijana rijari.

SAA ya mahubiri yuko bz na cm yake ya sumsang na hajari kama amekaa na kijana wa kiume hapo halafu mapaja yako nje balaa..... kwa kweli nahisi nitaanza kuwa nawatongoza tu kwani uvumilivu unataka kunishinda.

Au kwenye darasa cha sunday school maana hapo viti vinaangaliana bila hata uoga Dada unamwangalia mapaja hata hajari..
NB.; WAPO WATAKAOSEMA KANISANI UNAENDA KUABUDU NA SIO KUANGALIA MTU,Lakini ukweli ni kwamba macho hayana pazia DADA ZETU TARATIBU KWENYE NYUMBA ZA IBAADA.kwani hata maombi ya kutafuta mke bado sijajibiwa sasa kazi sana...

Hakuna dini isiyotawala tabia nia mienendo ya watu, ukiona hivyo hiyo sio DINI
 
  • Thanks
Reactions: lup
Back
Top Bottom