Wadada wa chuo wote huwa ni wazuri

Wadada wa chuo wote huwa ni wazuri

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,865
Ila leo! Yaani katika pita pita zangu madada ambao nimekuwa nikikutana nao sehemu mbalimbali....
Wengi wao huwa ni wazuri Ila sasa katika kila wasichana 10 ambao nimewahi kuvutiwa nao 7 kati ya hao walikuwa ni wanachuo.....

Nimekuwa nikijiuliza ni macho yangu tu ama huwa ni wazuri wakiwa bado wanasoma au kwa vile sijawazoea Ila kiukweli sijawahi kutana na mdada wa chuo asiwe mzuri....

Au kwa vile wanajua kujitunza full vipodozi kuliko hawa mabinti wa mitaani.,....

Duh!bado sijapata jawabu

#Iam Zagarino
 
Niambie basi hiyo tofauti ya uzuri na urembo sijabisha nakusikiliza
Urembo unauzwa madukani, uzuri Ni wa kuzaliwa nao.
Hao unaodhani Ni wazuri, maduka ya urembo yakifungwa utagundua kuwa hata wewe umewashinda uzuri.
Gharama wanazotumia kujipendezesha Ni lazima zilipwe ndio maana wanakuwa na utitiri wa MABWANA
 
Umenena vema mkuu
 
Ila leo! Yaani katika pita pita zangu madada ambao nimekuwa nikikutana nao sehemu mbalimbali....
Wengi wao huwa ni wazuri Ila sasa katika kila wasichana 10 ambao nimewahi kuvutiwa nao 7 kati ya hao walikuwa ni wanachuo.....

Nimekuwa nikijiuliza ni macho yangu tu ama huwa ni wazuri wakiwa bado wanasoma au kwa vile sijawazoea Ila kiukweli sijawahi kutana na mdada wa chuo asiwe mzuri....

Au kwa vile wanajua kujitunza full vipodozi kuliko hawa mabinti wa mitaani.,....

Duh!bado sijapata jawabu

#Iam Zagarino
Tembelea DUCE uone, naamini ukitoka huko utafuta imani yako kuhusu wanachuo
 
Ila leo! Yaani katika pita pita zangu madada ambao nimekuwa nikikutana nao sehemu mbalimbali....
Wengi wao huwa ni wazuri Ila sasa katika kila wasichana 10 ambao nimewahi kuvutiwa nao 7 kati ya hao walikuwa ni wanachuo.....

Nimekuwa nikijiuliza ni macho yangu tu ama huwa ni wazuri wakiwa bado wanasoma au kwa vile sijawazoea Ila kiukweli sijawahi kutana na mdada wa chuo asiwe mzuri....

Au kwa vile wanajua kujitunza full vipodozi kuliko hawa mabinti wa mitaani.,....

Duh!bado sijapata jawabu

#Iam Zagarino
Usitufokee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tu support mziki wa nyumban
Achana muziki wa ki nigeria kule WCB
Yeah lakini nilitaka kuleta zogo tu Ila mi ni fan no 1 wa WCB lakini hiyo haifanyi niache Ku support music ninasapoti Good Music Rich Mavoko One Love
 
Back
Top Bottom