Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,193
Ila wakuu mnahonga saana aseeh...kumiliki sista du wa chuo ni sawa na kumiliki VX V8...lazma uwe vizuri maana deile unakata pochi nene.
Sasa kama umezoea videmu vya mtaani level za passo mafuta ya 10,000 unamaliza mji kaa kwa kutulia babaali.![]()
Yaani huyo demu wa kama kumiliki VX V8 unakuwa unampa shingapi kwa siku wazee?

