Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,049
Kwamba vidume wajiongeze piemuni.
Msituhurumie endeleeni hivyo hivyo.
Unaoaje mwanamke usiyejua kwao ni wangapi na ni nani na nani?
Huyo ndiyo mwanzisha uzi ??
Hii song hauijui?
Sijaelewa...Hivi inawezekana
Sijaelewa...
Hilo ni jibu, swali, mshangao au maelezo?
Ulishawai kuingia ukitoka uko PM kwanguPm yako iko wazi?
Pm yako iko wazi?
Si kutuonea huruma, ni kuwa na upendo wa dhati zid yetu. Kama hakuna upendo, huruma ni rahisi kukosekana. Sawa mama yangu (cz of the name Namkunda)Nilipokuwa na kazi nzuri nilimtimizia mahitaji yote,
Lakini sasa kazi nimefukuzwa mpenzi hanitaki tena,
Nilipata mgeni mmoja akanidanganya ni kaka yake,tena nilimkaribisha na nyumbani kwangu akalala, akala msosi wa nguvu pombe kibao nazo akanywa,
Akanipa salamu nyingi kutoka nyumbani kwa wazee ,
Pia akalalamika et kwanini siendi kusalimu wazee
Nilimpa heshima zote nikijua ni shemeji yangu ,
Kumbe alikuwa ni.................................!
Ebu malizia kama unaikumbuka hii song
Yamemkuta jirani yangu kama haya hivi leo
Pole jirani. [emoji116]View attachment 1187635
I
Si kutuonea huruma, ni kuwa na upendo wa dhati zid yetu. Kama hakuna upendo, huruma ni rahisi kukosekana. Sawa mama yangu (cz of the name Namkunda)