Wadada tusilazimishe ndoa

Swali lako kwa mazingira haya tunayochanganyikana na warembo kutoka kila mkoa na wa aina tofauti tofauti naweza kusema ni la mtego na nikilijibu vibaya litanicost. SIJAOA MIMI.

Ila mbona unajua bhna au unataka tu kuniexpose hapa?
Player
 
Ndoa si mchezo ila kwa nyakati hizi upatikanaji wa mbunye umekuwa rahisi wanaume wengi hawataki kuoa. Ni kumbunyeka na kusepa kuepuka kero za ndoa
hahahahahah ila Mungu anawaona
 
kweli kabisa pacha wadada wengi hawajui tu kuhusu swala la ndoa
 
Haka kausemi cha "MWANAUME ANA KAZI NZURI TU" huwa sikaelewi elewi, eti wakina dada, uzuri wa kazi ndio kipimo cha upendo ama???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Haka kausemi cha "MWANAUME ANA KAZI NZURI TU" huwa sikaelewi elewi, eti wakina dada, uzuri wa kazi ndio kipimo cha upendo ama???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
sio kipimo cha upendo kipimo cha kuishi maisha mazuri wanavyosema wenyewe et
 
sio kipimo cha upendo kipimo cha kuishi maisha mazuri wanavyosema wenyewe et
Kumbe! kwa hiyo kazi ingekuwa si nzuri jamaa asingesumbuliwa na nyimbo za ndoa kila siku.πŸ˜€
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…