kweli kabisa mkuu kauli ni kila kituwanaume tunaakiri kubwa sana hivyo unapokuwa unatongozwa kuna majibu ambayo moja kwa moja humpelekea mwanaume kujua kuwa huyu ni wakupita tu ama huyu wakudumu nae kwahiyo jitaidini kuwa na majibu ya kumshawishi mwanaume akuone pengine wewe ndie wakati anakutongoza kama kweli umevutiwa nae siku moja akuoe
Wa kwanini ulipigwa ban....haha pole lakini?swali lipi tena
sitaki uzi za watu tena
Ule uzi wa mtu anatafuta sijui mke sijui mme? ?ujue nilikujibu labda haujarudi kule chit chat tulipigwa na bonny na wengine sijui wawili tulikua kwenye huo uzi
Sawa mjukuu wangu..... Ila uoe me nataka vitukuuMpe pole shoga ako aseeh.
Ila naona kama mnatutafsiri vibaya. Kwani kuwa na kazi nzuri na kila kitu ndiyo guarantee ya kuoa?
Mwisho kwa waliopo katika uchumba wajue Sio kila mahusiano yanaishia kwenye KUOANA.
Asanteni kama kuna swali niulizwe haraka.
Daaa kumbe yaliwakuta na nyie e... Ha ha haujue nilikujibu labda haujarudi kule chit chat tulipigwa na bonny na wengine sijui wawili tulikua kwenye huo uzi
Hahahaaa. .. Na me nimekomaaasitaki uzi za watu tena
Pole bibie.yes huo huo kaenda kutusemea kwa mods
Bibi mchumba nataka nikuoe wewe. Babu atakubali?Sawa mjukuu wangu..... Ila uoe me nataka vitukuu
Hahaaaa... Yalinikua mwenzangu. Mzee wa kung'oa sijajua. Hahahhaaahahhahah naskia na ww shouger yalikukuta na mzee wa kungoa vipi maskin