Viwanja kadhaa navyopita kwa sasa naona wadada wengi wanaopendelea bia ukiachana na wapendelea wine, wamehamia kwenye Serengeti light na si Redd's tena.Ladha ya savanna na saint Anna huwa naona zinaelekeana...hazinivutii
Japokuwa sijawahi kunywa mikojo,ila huwa nahisi zina ladha ya mikojo
Napenda zaidi amarula
Demiss kesho njoo dodoma carnival tuburudike na savannah japo m situmiiWanaume wa Dar ni shidaaa
Wanawake mkiitwa mnafika ndani ya muda, haya endeleeni na uzi wenuWanaume wa Dar ndio kinywaji Chao hiko usiwakaribishe wadada wa jf tuu pekee.
Nitajaribu kuitafutaViwanja kadhaa navyopita kwa sasa naona wadada wengi wanaopendelea bia ukiachana na wapendelea wine, wamehamia kwenye Serengeti light na si Redd's tena.
Ila kuna bia moja inaitwa DESPERADOS nakushauri uijaribu hiyo ipo viwanja vichache kwa hapa bongo ila sehemu yeyote classic hawakosi hiki hususani wanapofika wazungu wazungu.
Ilitaka kupita humo humo kwenye Redd's , Savannah na St. Anna ila hii itakufaa na utaipenda.
Mwanzo st Anna km hujaizoea inaweza kukushinda ila ukiizoea iko pouwa kbs Sema huwa inashuka binafsi lknLadha ya savanna na saint Anna huwa naona zinaelekeana...hazinivutii
Japokuwa sijawahi kunywa mikojo,ila huwa nahisi zina ladha ya mikojo
Napenda zaidi amarula
Vyuma vimekaza wadada wanakunywa kilimanjaro ndogo za 1500Viwanja kadhaa navyopita kwa sasa naona wadada wengi wanaopendelea bia ukiachana na wapendelea wine, wamehamia kwenye Serengeti light na si Redd's tena.
Ila kuna bia moja inaitwa DESPERADOS nakushauri uijaribu hiyo ipo viwanja vichache kwa hapa bongo ila sehemu yeyote classic hawakosi hiki hususani wanapofika wazungu wazungu.
Ilitaka kupita humo humo kwenye Redd's , Savannah na St. Anna ila hii itakufaa na utaipenda.
Savanna sijaizoea ila saint anna nilishakunywa mara nyingi ila imenishinda aseeMwanzo st Anna km hujaizoea inaweza kukushinda ila ukiizoea iko pouwa kbs Sema huwa inashuka binafsi lkn