stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
mi akinikera namuandikia kama ni email au namtext, natoa kila kitu kilichopo kwa roho yangu,na hapo uchungu wote unaisha,
hee we mbona kwenye hili tumefanana!!
mi akinikera namuandikia kama ni email au namtext, natoa kila kitu kilichopo kwa roho yangu,na hapo uchungu wote unaisha,
Hivi Liverpool atachukua ubingwa kweli??
Kama alivyosema Evelyn Salt kwamba baada ya ugomvi mnapoozana na tendo lenyewe.Baadhi ya watu wanatumia kama njia hio kupoozea hasira kama ile una hasira ur fighting back anakukumbatia,mabusu n.kMhhhhhhhhhh Gorgeous mimi kumbe kuna type ya wanaume ambao wanawaingilia wake zao kwa nguvu kama njia ya kupunguza hasira zao?sasa na baada ya hapo je nini kinafuata hasira zake zinakuwa zimeisha? ndo anaanza kukuomba msamaha ama?maanake this is too confusing aisee.
Kama alivyosema Evelyn Salt kwamba baada ya ugomvi mnapoozana na tendo lenyewe.Baadhi ya watu wanatumia kama njia hio kupoozea hasira kama ile una hasira ur fighting back anakukumbatia,mabusu n.k
Ndio hiko nilichomaanisha!Khhaaaaa hiyo nimerecalll naionaga mara nyingi kwenye tamthilia.
Hivi Liverpool atachukua ubingwa kweli??
SUAREZ amelia sanaHivi Liverpool atachukua ubingwa kweli??
Umeelewa nilichoandika lakini?
Kama alivyosema Evelyn Salt kwamba baada ya ugomvi mnapoozana na tendo lenyewe.Baadhi ya watu wanatumia kama njia hio kupoozea hasira kama ile una hasira ur fighting back anakukumbatia,mabusu n.k
kwa hyo ukigegedwa solution ishapatikana na hasira kwishney?hahahaa hahaaa haahaaa kidumu chama cha mgegedano halali!kidumuuuuuuu
mimi hata mdogo wangu akiniudhi huwa nalia so wapo makini sana nisiudhike ili nisilie.... sijui nitaacha lini kulia ila sipendi
Kumbe tuko wengi dah
Habari,
Hivi mashostito na mabestito mkikerwa na wenza/wapenzi/waume zenu mnachukua hatua gani?Una keti na kumueleza mwenza wako juu ya kero yako?Unatumia ishara kama kununa,kususa,kuzira au ndo kula bati? au unapuuzia tu?
Wanaume walio wengi ni wagumu kupokea critics na kujishusha kwa mwanamke refer kwa post https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/647284-swali-kwa-wanaume.html lakini je kama mwenza wako hatokubali kumaliza mfarakano unafanyaga nini?
Karibu wapenzi!
Cc kingasti lara 1 Kongosho farkhina Husninyo miss neddy masai dada Evelyn Salt Ablessed Vaislay badiebey Kaunga ladyfurahia Chujio mwallu Ennie Ablessed, Heaven on Earth miss chagga snowhite everlenk Fixed Point tinnacute Jawilat Valentina amu charty sister Sista Mrembo by Nature jamiif Namless girl DEMBA Eshy m.s mimiks Blue G Lizzy Kim nana ICHANA Mom Fay bibi.com DinaZARADE Zinduna gfsonwin Angel Nylon princess sayuni Rapunzel na wengine nilowasahau
Mi kwakweli nikiwa na hasira huwa siwezi kuongea, huwa nauchuna tu...
akinikera namwandikia msg hata kama nipo nae hapo hapo namweleza alivonikera
it depend na mood yake kuna muda anasema sorry kuna muda anajidai kidume
whatever response yake itakavokuwa mi najisikia amani kwa kuwa nshasema yangu
naamini anajifanya kidume machoni tu ila moyoni kakiri
kifuatacho na act kama mwanamke natafta tu namna tugegedane na huo ndo unakuwa mwisho wa kesi.....
Nimeipenda hiyo
Me huwanatishia kunywa sumu kwanza nikigalagala anakuja kunpliz hata kama kosa langu yanaisha nampa na gemu kiraha zetuuuu