Wadada tufunguke!

Wadada tufunguke!

Inategemeana na jambo lenyewe,kuna wakati naweza kulia,kununa,kufoka na hata wakat mwingne kucheka kabisaa,na kuna mengne nayapuuzia tu.

Ila huwa najitahidi sana bifu langu lisimalize siku bila kupatana hata haijalishi nilikosea au kanikosea yeye,na kama ni zito sana lisizidi siku 3 bila kupatana.
 
Umejaaliwa moyo shupavu sana mpendwa,mungu akubariki uendelee hivohivo,inamaana wewe rafiki hata ukerwe vipi unasamehe na kuendelea na maisha😕 laiti wanaadamu wote tungekuwa hivo,dunia hii ingekuwa pepo kwa kweli!!
me nanuna hata siku tatu na yr cha moto anakipata akijua nimenuna anajua kasharibu.ingawa mgumu kuomba msamaha ila indirectly ataanza baby hivi baby kilipanda then tunadiscus nampa makavu yanaisha
 
Ukitaka akusikilize msubiri kunako sita kwa sita kipindi cha mapumziko tehtehteh
 
mengine yanayohtaji kubadilika unasema tu mengine unamezea kusemasema sio poa sometimes
 
Mimi nalia 😕m
paka napandisha morii hasira zikiisha nafanya kazi zangu kimya kimya na akinisemesha sina maneno mengi naenda kwenye point na hata akiomba msamaha namsamehe ila nakuwa bizeee mpaka raha.mwishoni anafollow the arrow mwenyewe
 
Back
Top Bottom