Wadada tufunguke!

Wadada tufunguke!

Binafsi mimi akinikera mtu huwa nakumbuka kauli ya wakubwaqkunyamaza katikati ya hasira ni suluhisho kubwa"..nanyamaza natafuta maji yalipo kama yuko mbali natumia njia ya meseji zaidi kuliko kupiga simu..kama yupo karibu napenda akae juu mie chini ndo niweze kuzungumza nae vizuri..kukaa kimya kunasaidia kupunguza ugomvi kwenye mahusiano...wanawake tupunguze midomo na uvuvuzela..
 
Binadamu tumeubwa tofauti na kuishi pamoja kama / mke/ mume/ mahusiano kukosana ni jambo LA kawaida ili tunatakiwa kusamehe Mimi naumia sana when I hurt someone ...nakosa aman rohoni mwangu naomba msamaha tunayaongea kwa kumaanisha kujenga na sii kubomoa kwa hekima na busara muafaka unafikia
Maisha yenywe mafupi kuish kwa vinyongo na hasira kujiletea stress na magonjwa yanni wakati unaweza kujishusha na kufika muafaka mzuri na mkapiga mechi ya maana baada ya msamaha
 
Dah!
Aidha nimekua au narudi utoto ila sijui kwanini siwezi tena kuhandle mazungumzo ya kusamehe na kusamehewa!
Najiamulia tu kuwa nimekusamehe maisha yanasonga au sijakusamehe na maisha yanasonga!
Essence ya msamaha kwangu ni kama haina maana vile!
Well sijui,pengine ni kipindi tu kinapita!
 
I pray nipate nguvu ya kusamehe na kupuuzia maudhi/kero na kuendelea na mambo yangu kama vile hamna kilichotokea. Maisha ni mafupi gorgeousmimi kubeba kero na kuhifadhi hasira/kinyongo. Yawezekana ndivyo alivyo, kwahiyo ni vizuri kuichukulia kama udhaifu wake huku ukimwombea na kumvumilia tu kwa upendo. Naamini upendo pekee ndio unaoweza kubadilisha hali yoyote

NMEKUPENDA bureeeeeeeeeeeeeeeee....wanawake wote wangekuwa kama ww duniani ingekuwa raha tupu.ila kuna hao majanga kila ukiingia kanuna hajulikani kaudhiwa hajulikani anatingisha kiberiti, akicheka ujuwe kizinga kitafuata ujiandae kufungua pochi!duuuh
 
Mi kwakweli nikiwa na hasira huwa siwezi kuongea, huwa nauchuna tu...
akinikera namwandikia msg hata kama nipo nae hapo hapo namweleza alivonikera
it depend na mood yake kuna muda anasema sorry kuna muda anajidai kidume
whatever response yake itakavokuwa mi najisikia amani kwa kuwa nshasema yangu
naamini anajifanya kidume machoni tu ila moyoni kakiri
kifuatacho na act kama mwanamke natafta tu namna tugegedane na huo ndo unakuwa mwisho wa kesi.....

Kwa hyo ukigegedwa solution ishapatikana na hasira kwishney?hahahaa hahaaa haahaaa kidumu chama cha mgegedano halali!kidumuuuuuuu
 
shoctito gorgeousmimi kikawaida mimi ni muongeaji,kwa hiyo nikikikasirishwa na jambo huwa naanza kwanza kwa kupunguza maongezi,majibu yanakuwa kwa ufupi na uchangamfu nauweka mfukoni,kwa hiyo hubby akishaona hivyo tu huwa ananiuliza vipi mama unaumwa au mama kuna kitu nimekuudhi?hapo na mi ndo naanza kufunguka sasa namweleza yangu ya moyoni na na nashukuru huyo aliyekuwa hubby wangu alikuwa mnyenyekevu hata kosa liwe dogo vipi angeniomba msamaha tu sasa ukichanganya na vile videko vya kike namzingua mara moja mbili tatu atanibembeleza hatimaye yanaisha,ikitokea ameamua tu kupuuzia hata nikikaa kimya basi naanza mimi mwenyewe kumwambia aliponikwaza tunayasolve yanaisha shosti ni hivyo tu kwa upande wangu.
 
Last edited by a moderator:
It depends na situation,mengine nampa live sijafurahishwa nayo mengine mtu huwezi kuyauliza kila saa,so Mi natulia tu naugulia moyoni,nakuwa busy kufanya mambo yangu hadi nijisikie kuongea nae tena,
 
Binafsi mimi akinikera mtu huwa nakumbuka kauli ya wakubwaqkunyamaza katikati ya hasira ni suluhisho kubwa"..nanyamaza natafuta maji yalipo kama yuko mbali natumia njia ya meseji zaidi kuliko kupiga simu..kama yupo karibu napenda akae juu mie chini ndo niweze kuzungumza nae vizuri..kukaa kimya kunasaidia kupunguza ugomvi kwenye mahusiano...wanawake tupunguze midomo na uvuvuzela..

Ok kwahio wanawake hususa pia?au ndo ile mnavunja urafiki tu lakini mambo mengine yanendelea?wengi wetu hulia,nadhani hii ni njia mbadala ya kupunguza hasira na uchungu ulonao,unadhani itakuwa vizuri kule kususa kukiwa replaced na njia hii?
 
Na inategemea na mtu,mwingine kama kakuudhi kumuambia ndo unazidisha soo,so bora uwe mpole tu,ukubali yaishe
 
nikikerwa napata hasira na hapo nashindwa hata kuongea maana nikiongea ntaishia kulia tu, nanyamaza hasira zikiisha namwambia kile alichonikera!
 
shoctito gorgeousmimi kikawaida mimi ni muongeaji,kwa hiyo nikikikasirishwa na jambo huwa naanza kwanza kwa kupunguza maongezi,majibu yanakuwa kwa ufupi na uchangamfu nauweka mfukoni,kwa hiyo hubby akishaona hivyo tu huwa ananiuliza vipi mama unaumwa au mama kuna kitu nimekuudhi?hapo na mi ndo naanza kufunguka sasa namweleza yangu ya moyoni na na nashukuru huyo aliyekuwa hubby wangu alikuwa mnyenyekevu hata kosa liwe dogo vipi angeniomba msamaha tu sasa ukichanganya na vile videko vya kike namzingua mara moja mbili tatu atanibembeleza hatimaye yanaisha,ikitokea ameamua tu kupuuzia hata nikikaa kimya basi naanza mimi mwenyewe kumwambia aliponikwaza tunayasolve yanaisha shosti ni hivyo tu kwa upande wangu.
Ahsante kwa kufunguka rafiki ila inaonekana tulio wengi tunanuna au kwa lugha nzuri kupunguza uchangamfu hii ntakchukulia ni kama ishara ya kuonesha umekerwa ili mtenda ajue kosa lake wakati mtendwa akitafakari alivyokerwa!kuna wale ambao wanasusa na kuweka mgomo,hakupikwi,hakupakuliwi,sheria zote zinavunjwa na amani inatowekea unakuta mtu kabinua mdomo tu na kuna uwezekano anajibu mbovu mbovu je hii ni njia sahihi ya kusuluhisha ugomvi?na kama mtu anajua anareact hivo akikerwa afanye nn?
 
Last edited by a moderator:
Dah!
Aidha nimekua au narudi utoto ila sijui kwanini siwezi tena kuhandle mazungumzo ya kusamehe na kusamehewa!
Najiamulia tu kuwa nimekusamehe maisha yanasonga au sijakusamehe na maisha yanasonga!
Essence ya msamaha kwangu ni kama haina maana vile!
Well sijui,pengine ni kipindi tu kinapita!
Sasa usiposamehe rafiki ugomvi si utakuwa haujaisha bado?utakuwa unakaa na kinyongo/chuki rohoni?hali hio unaisuluhishaje?
 
Binadamu tumeubwa tofauti na kuishi pamoja kama / mke/ mume/ mahusiano kukosana ni jambo LA kawaida ili tunatakiwa kusamehe Mimi naumia sana when I hurt someone ...nakosa aman rohoni mwangu naomba msamaha tunayaongea kwa kumaanisha kujenga na sii kubomoa kwa hekima na busara muafaka unafikia
Maisha yenywe mafupi kuish kwa vinyongo na hasira kujiletea stress na magonjwa yanni wakati unaweza kujishusha na kufika muafaka mzuri na mkapiga mechi ya maana baada ya msamaha
Nimependa ulivyonena ni jambo zuri sanaa kutokupenda kumtendea jambo mwenza wako ambalo wewe hupendi kutendewa!laiti watu wote wangekuwa hivo na wangejishusha kirashisi kusingekuwa na ugomvi!
 
mimi mwenzenu naangalia na mood yake kama atanifokea siulizi lakini huwa nalia sana machozi yakiisha tu na mimi nakuwa nipo okey nakuwa nimemsamehe wala hata sijui kununa mtoto wawatu mie...... nakaa kimya sana though inaniumiza sana wakati wa kulia
 
Vizuri kuambiana....Ila kuna wanaume wengine ukiwaambia wanaona kam wewe ndio mkorofi...hao ndio waleee wanaume magube gube.....

Vizuri umuambie mwenzio kwa utaratibu, amani.....pengine atakuelewa...Asipoelewa amekusudia
 
Mi kwakweli nikiwa na hasira huwa siwezi kuongea, huwa nauchuna tu...
akinikera namwandikia msg hata kama nipo nae hapo hapo namweleza alivonikera
it depend na mood yake kuna muda anasema sorry kuna muda anajidai kidume
whatever response yake itakavokuwa mi najisikia amani kwa kuwa nshasema yangu
naamini anajifanya kidume machoni tu ila moyoni kakiri
kifuatacho na act kama mwanamke natafta tu namna tugegedane na huo ndo unakuwa mwisho wa kesi.....
Ushawahi kukutana na yule mwanaume ambae mkikerana ana kuingilia kinguvu kama njia ya kukupunguzia hasira yaani anajua huko kwenye mood unamwambia sitakii lkn hakuachi?
 
'Hapo mwanzo' nilikuwa nariaktije....kama ni kuropoka chochote ambacho nami naona kitamkera haswaa....Lakini baadaye, sijui kadiri umri unavyosonga, nimejikuta aidha nitadharau na kujifanya kama la kupita (though huwa nabaki na kitu kinanisumbua moyoni kwa muda mrefu) au pale pale nitasema kuwa hiyo haijakaa sawa na wala haijanibariki....

Na kikero kikiwa kikubwa cha kupitiliza huwa namuuliza...una uhakika unataka kujua response yangu? Manake hapo moyoni nakuwa nishamtukania mpaka jirani yake wa utotoni....ila kuepusha shari nabakia kwenye hilo swali tu...
 
Back
Top Bottom