nawaasa wadada jambo hilo walichukulie kama somo.wasilidharau kwa sababu halikutolewa hospitali au na mtaalam wa afya.Kuna baadhi ya wadada wanatumia mbinu za kuhadaa wapenzi wao ambazo zinahatarisha afya zao! wadada hawa wanatumia 'kistic' kipo kama chaki wanaingiza ukeni na kinayeyuka kidogo kidogo huwekwa kabla ya tendo la ndoa kinakausha maji ukeni na kuongeza joto la hatari.huondolewa baada ya mda na kinaweza kutumika hata mpaka miezi sita.yote hiyo ni katika kuhakikisha wanapagawisha wanaume!
wengine wanatumia kitu inaitwa SHABU ili aonekane mwali(hajatumika) akiwa na mwanaume wake! ndo wale wanajifanya wewe ndio first to none!
Wengine hutumia mchanganyiko wa viungo kama asali,majani ya mbaazi na binzari nyembamba! kisha wanatumbukiza kwenye papuchi,Hataree.
Tatizo lililopo hawajari kama wanaweza pata magonjwa kama saratani n.k na kuleta janga kwa ndugu zao,wapenzi wao na Taifa! wadada taratibu.ukipendwa umependwa tu.mimi nikigundua unafanya ujinga huo nakumwaga fasta.sipendi mbunye artificial mazafanta.
huwa UnafanyaKama wewe hupendi Wenzako wanapenda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpe poleHaaa kuna mwingine aliomba msaada aliweka hiko kistick ili kubana K.. matokeo yake K ikaziba kabisa
Sijui alipata msaada stahiki
mama long time sijakuona uku jamvini ?Hizi papuchi kama mdomo mbaazi, Asali, stick , dushe yote twende .. Mmh magonjwa ya uke yanazidi kuwa mengi bad enough cure nayo hakuna
Umesahau JIKUmesahau pia mchai chai, ubuyu, karafuu, hamira, hina, maji ya betri, coca cola, mdalasini, pilipili kichaa na kungu manga.
Ila wewe wa moto asiliHaaa kuna mwingine aliomba msaada aliweka hiko kistick ili kubana K.. matokeo yake K ikaziba kabisa
Sijui alipata msaada stahiki
Waksi nayo twende.....Hizi papuchi kama mdomo mbaazi, Asali, stick , dushe yote twende .. Mmh magonjwa ya uke yanazidi kuwa mengi bad enough cure nayo hakuna
Chochote haichaguiWaksi nayo twende.....
Tutakuwa tunapishanamama long time sijakuona uku jamvini ?
Kwote kwanguNaona umeenda mpaka chumbani[emoji12]
Duu . Ngoja nitafakariunaingia mtaani kutafuta huduma?!!