Wadada tafuteni pesa la sivyo wanaume wazuri mtaishia kutuita kaka na baby

Hata wamaume wanaweza kukugharamia dogo lakini kuna sharti ukikubaliana nalo utakula sana bata hapa mjini uko tayari nikuunganishe na mapeshee kina Erick ford
 
Mwanaume kujisifia uzuri kuna walakini usipoangalia utawahi kufa
 
Duh aiseee

Kizazi cha kiume kinapotea taratiiiiiiiiiibu
 
Yan afrika n afrika tuu....alichokosea mtoa mada sijakiona (pirato) atakama hukujisifia unajijua km ww upo vp...!! af dunia imebadilika coz hatuoi wanawake ma degea..curtois..bravo..ter stegen n.k so acha adai shape hakuna sura ya mjomba mapenz hujui ( f ) yaan 0% na hela nikupe, weeh labda nmerogwa
 
Naunga mkojo hawa wadada wa siku hizi wanaboa anakugeuza ATM...kama huna hela acha kutamani wanaume baadae ukiwekwa foleni unajiliza Liza kumbe katka mahusiano huna unacho changia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom