Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,511
- 40,603
- Thread starter
- #121
Ni kweli, ukisema uanze nao maisha huwa wanasumbua sana, watakupa presha kwa sababu wengi wanakuwa wanawatamani.Sijui kwako mimi kwa mazingira niliyo ambayo yame nikuza, kuna kikundi fulani ya mabrothers zangu wa mtaa, wapo kama kumi hivi walikuwa na timu yao ya basketball.
Jamaa walikuwa malaya, wanagonga mademu wakali mpaka wanaingia chuoni, jamaa wanabadilisha visu vya hatari. Sasa hivi wote wana familia zao 80% wameoa wanawake wa kawaida. So kutokana na maisha yao kuna kitu kikubwa nimejifunza sana, halafu wale mademu waliokuwa wakitembea nao zamani naweza ikasema kwa sasa wengi ni single mother, kwani kipindi hiko sisi ndio tuliokuwa tukitumwaga viepe.
Ila husini quote vibaya sijasema wanawake wenye husmart wa mwili hawanaga akili, ila mara nyingi mademu ambao wenye usmart wa mwili hawafai kufanya nao maisha. Ila kama umeamua sawa chaguo ni lako na maisha ni yako.