Wadada 'smart' mna gharama sana

Nendeni Dubai kwa matajiri ndio wanajua kuhudumia
 
Neno smart haliusu hapo hao ni changudoa wa level furani, ya kati, au chini siyo smart kama unavyosema. Wanawake ambao ni smart huwa Wana elimu nzuri,kazi nzuri, mizinga yao unapeleka mwenyewe, siyo akuombe, wengi wao hawezi kuomba pesa ya nguo wigi, nauri, pango. Wao ni mwendo wa nyumba, gari nzuri ya kutembelea na mitaji ya biashara zao Kama mke mpya wa mzee Mrema alivyokuwa anatamba ana biashara zake kubwa kubwa kumbe mzee ilikuwa nyumba ndogo miaka mingi sana, mzee alikuwa anatoa fungu kubwa la kuanzisha biashara kwa nyumba ndogo. Mke wa marehemu mzee mengi etc hao ndo smart. Hao wa wigi, nauri, pango la nyumba, chakula, mjomba anaumwa, shangazi anaumwa etc hao ni wachumia tumbo. Wengi wanatumika kingono zaidi kwa sababu ya maumbo yao ya kuvutia basi, wengi hawako smart especially wa matako makubwa sana kichwani huwa zero kabisa 💯.
 
Kuna mawili wewe ni "either" mpumbavu au huna akili.......unashindwaje kuelewa maana ya neno "smart"........hadi kulifananisha na hulka za wanawake wanaojiuza?
 
Utazeeka Ukiwa hapo hapo kwa hiyo mentality
 
Unamaanisha smart kichwani au inya mkuu?
 
Bila shaka unazungumzia usmart wa mwili sio usmart wa akili kwani ni vitu viwili tofauti.
 
Kuna kuhudumia na kukomoa.
 
Mzee wee njoo tugegede malaya mbona gharama nafuu kabisa 50 tuu unakula hadi tope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…