Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Hahaha! Mkuu! Wewe vibwengo umeviona wapi??umeniamsha ujue.aagh wanawake waliojichubua wanafanana na kitimoto!!
View attachment 141397
Hatuachi ngo'o
Kutokujiamini na kuamini weupe ndo rangi ya mwanamke.....kuna siku nilikuwa mabibo kuna bidada akawa Anawaambia wenzake sasa hivi nimeanza kuwa Mweupe nang'aa....akamalizia mwanamke ukiwa mweupe ndo Unavutia zaidi kama yeye alivyo sasa......yani nilimsikitikia tu yule dada...Afadhali... Afu sijui nani huyo aliewaloga kuwa wakiwa weupe ndio wanavutia!!!!!
Kutokujiamini na kuamini weupe ndo rangi ya mwanamke.....kuna siku nilikuwa mabibo kuna bidada akawa Anawaambia wenzake sasa hivi nimeanza kuwa Mweupe nang'aa....akamalizia mwanamke ukiwa mweupe ndo Unavutia zaidi kama yeye alivyo sasa......yani nilimsikitikia tu yule dada...
Si nyie nyie. ..tusipojipodoa tatizo. .tukijipodoa shida. .tukibaki natural washamba. .tukiweka kiasi hatujiamini. .lol mutuwacheJeez!!!!!!
hivi nani kawadanganya lakini!!!!
Si nyie nyie. ..tusipojipodoa tatizo. .tukijipodoa shida. .tukibaki natural washamba. .tukiweka kiasi hatujiamini. .lol mutuwache