Wadada sasa hivi tunamiliki wanaume!

Wadada sasa hivi tunamiliki wanaume!

Bidhaa hadimu haipatikani kirahisi na ikipatikana lazima ilindwe kwa wivu mkubwa maana maadui zako akijua furaha yako ilipo hawakawii kukupokonya.
 
Kwamba wewe ni mwanamke?
Au washakuvunja?
 

Attachments

  • Screenshot_20261101_143405.jpg
    Screenshot_20261101_143405.jpg
    154.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom