Wadada sasa hivi tunamiliki wanaume!

Wadada sasa hivi tunamiliki wanaume!

Kuwa makini,ukiwanyima hela wanaua..
Yule mama ntilie kapigwa ya panga la shingo,kanyimwa pesa ya kurenew leseni
 
🤣🤣🤣mwanaume akiwa masikini afu mvivu haya ndo madhara yake......
 
Kuna jamaa saa hiv yupo chin ya himaya yangu.namlisha, namvisha,namhudumia chote.ila kazi yake ni moja tuh kunipa dozi!
Isaya 4:1
“Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mmoja, wakisema, Tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa mavazi yetu wenyewe; lakini tuitwe kwa jina lako, uondolewe aibu yetu.”
 
Habari Sister..

Hivi ile dawa yetu ya kuku..

Unaweka kiasi gani kwenye lita 10 ya maji. Kuku wameanza kuharisha.
Kuhusu kuharisha fanya hivi kama ni wa kienyeji.
Twanga pilipili nyekundu kiasi kama nusu kilo humo changing na muarobaini ukipata majani ya mpera au tura tura weka.

Loweka leo muarovela kuanzia kesho anza kuwapa.
na ile gongo weka pembeni. kwenye maji mengine wape.
ina maana leo utakuwa na dawa aina mbili na kesho zitakuwa tatu.
kila baada ya siku tatu mwaga weka nyingine. na banda lako ni chafu hakikisha unalisafisha
 
Ahsante sanaa.
 
Back
Top Bottom