Kuna mmoja huyo kila akiona nguo nimevaa akiisifia lazima akija gheto aichukue, akanifanya nikawa sina Uhuru hata wa kupiga picha nipost...maana naona kabisa angezimaliza zote...kila siku nifanye kazi ya kumnunulia yeye nguo
Sent using
Jamii Forums mobile app