Yaani we jamaa umenigusa kuna kabinti nilikaalika home, siku hiyo nikakaacha rumu kaliondoja na saa,taulo na shati langu...nilichofanya nilimblock kwakila namba atakayo nipigia nayo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww pia n zichi!Ndio mnawataka basi hao waoeni .
Huku mnatuchoshaga yaani kama ni machizi tu humu ya mejaa .
Kwani huwezi achana naye unadata na mapigo ya kizaramo ishii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Snich au ndizii?
Bado unatafuta bwana?Snich au ndizii?
Duniani ukitaka kuishi vizuri usiwe upande wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungesema .. HATUFUATI TARATIBU ningekuelewa....Wanataka kumiliki wanawake bila kuwahudumia ....wanaacha kuoa wanajikabidhi halafu hawahudumii sasa sijui wanawaza nini......
Wenzao zamani ukiona mwanamke unatuma mshenga anaenda kutoa posa unaoa unatulia zako home kimya hakuna sijui kala sukari yangu Mara chunvi hakuna ...
Sikuhizi hawafati taratibu wanajibebea wenyewe kiholela wanakuja kulia lia huku ......
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnabebana kiholelaUngesema .. HATUFUATI TARATIBU ningekuelewa....
Hivi ninapojibebea kiholela, na huyo anayebebeka kiholela amefuata taratibu
Njaa zinatofautiana hata wewe kumuita gheto nayo ni njaa
Ndiyo hadi sukari mkuu?Ila vijana wa kiume mna gubu sana chaaa,..mkiombwa nauli mnalia,mkiombwa spray ya buku jero kamasi hizi hapa,.jamanii hadi chumvi roho zinawaruka kama ndondo jikoni lolmnatakaje etii???
BURE GHALI jomoniii,.
watu tushabebewa vifaranga vya kuku weunashangaa sukari
Hata ingekuwa majani ya chai jaba,.tuwe tunapendana kwa hali zotee jomonii chaa๐
Ila vijana wa kiume mna gubu sana chaaa,..mkiombwa nauli mnalia,mkiombwa spray ya buku jero kamasi hizi hapa,.jamanii hadi chumvi roho zinawaruka kama ndondo jikoni lol๐๐๐๐mnatakaje etii???
BURE GHALI jomoniii,.๐
Hivi wadau mnawachukuliaje wanawake wanaokuja gheto wakiona sukari, tambi, shati zuri, simu, pafyumu, saa au chochote kizuri wanataka?
Kwani mimi nilonunua sina shida? Wadada punguzeni njaa.
Hata kama mtu alikuwa na mpango nawe anakuacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa ya kumgongaNjaa zinatofautiana hata wewe kumuita gheto nayo ni njaa
Yaani we jamaa umenigusa kuna kabinti nilikaalika home, siku hiyo nikakaacha rumu kaliondoja na saa,taulo na shati langu...nilichofanya nilimblock kwakila namba atakayo nipigia nayo...
Sent using Jamii Forums mobile app