Wadada punguzeni njaa!

Ha haa sasa we hapo umeua. Na yy anakujaje mikono mitupu? Alitakiwa awe amekubebea vitunguu na wewe. Maskini atakuwa anakuwaza huko alipo
 
Ha haa sasa we hapo umeua. Na yy anakujaje mikono mitupu? Alitakiwa awe amekubebea vitunguu na wewe. Maskini atakuwa anakuwaza huko alipo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni zaidi ya mshikaj..sijui alienda mwambia nn mkeweπŸ˜‚πŸ˜‚..eti ht kawine jaman kakushusha stress za siku nzima..hahaa ss hv atakuwa anapita kmya kimya..
 
Ila vijana wa kiume mna gubu sana chaaa,..mkiombwa nauli mnalia,mkiombwa spray ya buku jero kamasi hizi hapa,.jamanii hadi chumvi roho zinawaruka kama ndondo jikoni lolπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mnatakaje etii???

BURE GHALI jomoniii,.😝

Basi tuko tofauti, mimi hivyo vyote hata siwazi akichukua..hata hela kama ninayo huwa siwazi, tatizo pekee ni niwe na hela kidogo halafu nipigwe kizinga, hicho kitaniuma.
 
Hahaahahaha aisee huyo anaebeba hadi sukari nimemnyooshea mikono

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwe wakweli.

Shida zao ndiyo hufanya wanaume tuwabadilishe kama nguo. Sio mapenzi ni dhiki tu.

Subiri wakiwa wako vizuri. Wengi tutaishia kuitwa shemeji. Wakiwa wanazo, watavua chupi kwa mapenzi sio dhiki. Wanakuwa very selective wakati huo. Anaweza atafute handsome boy sehemu na kuhonga juu.
 
Ila vijana wa kiume mna gubu sana chaaa,..mkiombwa nauli mnalia,mkiombwa spray ya buku jero kamasi hizi hapa,.jamanii hadi chumvi roho zinawaruka kama ndondo jikoni lolπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mnatakaje etii???

BURE GHALI jomoniii,.😝
Wafuate kilichowapeleka maghetoni tu.
 
Hahaha
Wana tamaa hao, unakuta akiingia ghetto ni macho juu juu. Kuna mmoja aliondoka na earphones zangu na charger ya simu yangu. Nikajiuliza huyu mtu ana akili kweli? Mimi simu ntachajia wapi na hivi hizi smatifoni hazikai na chaji.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ikawaje mkuu,alirudisha au?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…