Wadada punguzeni njaa!

Wadada haya mawiki mawil yatakuwa marefu sana kwenu maana tuko bamba tu bamba na nyinyi

13SEPTEMBER
 
Demu mwenye njaa ya kuomba mpaka sukari, chumvi nk huyo hafai kabisa. Demu ni yule anayepiga mizinga ya maana bhanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikija mie nabeba kitanda


meeyah nimecheka ghafla jaman hv ww mzimaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.mie last months kuna jamaa alipita napoishi anatokea bukoba...sasa akapita na usafiri wake jion nimetoka job..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..nilimuagiza wine dom hakuleta...nikaenda kwa buti nikakuta ana mafuta ya alizet na vitunguu kanunua singda...nikabebelea km vyangu vile...alikua ana miwan mizuriiii nikaichukua ananishangaa tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..nikamwambia haya baba nenda hana hamu na mm..chaa!
 
Safi tu, na wewe si unachukua K yake.. Ulitaka upate bure mkuu?

Ushauri: pindi anakuja kwako mtumie 50 kabisa, hatochukua hata pini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…