Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Najua mko poa.
Endelea kunishusha, kunipandisha, mimi nimekuwa huku nikiamini mtoto wa kike ni haki yake kulinga, kuwa na nyodo. Lakini basi isiwe too much, fanya nyodo kidogo, na kidogo kuwa na staha! Hili ni somo kwa wana Jamii forum wote, hasa dada zangu! Leo nina hii.
Mrembo ndio, japo sio kiviiile, umejoin staff team yetu, juzi juzi tu, hata mshahara wa kwanza bado hujavuta. Umekuja na speed 120, werevu wanasema mwenye nguvu mpishe, tukakupisha, tulijua wapi mbio za sakafuni, zitaishia.
Slim5 sina makuu, nacheka na kila mtu, sina kinyongo, sijui kukunja! Ulivoona nakuchekea ukajua, nimefika bei, ukajua nitakuomba mzigo, kichwa kichwa.Kama ni game ume-offside, mimi si wa hivo.
Mimi nacheka na kila mtu! Nimeona papuchi nyingi sana, yako sidhani kama ina jipya! Na kuangalia tu, kila nikija kumuona boss wangu, kwa vile lazima nianzie kwako, una kazi ya kunishusha, kunipandisha!
Jumatatu, Unanishusha, unanipandisha!
Jumanne, Unanishusha, unanipandisha!
Jumatano, Unanishusha, unanipandisha!
Alhamisi, Unanishusha, unanipandisha!
Ijumaa, Unanishusha, unanipandisha!
Kwa kuwa hili haliathiri utendaji wangu wa kazi, sintakaa nikuulize nini chanzo! Sihitaji reconciliation na wewe! Sintapoteza muda wangu eti kutafuta sababu kwa nini unanidharau.
So long hunijui, sikujui, wacha maisha yaendelee, wakati ukifika utajitambua, na utajifunza namna sahihi ya kuishi na watu sehemu za kazi, na penginepo! Tumekutana kwa bahati mbaya, na ntafanya kazi na wewe kwa bahati mbaya hivo, hivo.
Nakuonea huruma leo uso umekushuka kama ndugu wa mke baada ya ndoa kuvunjika, rafiki yako kaniomba lift wakati wa kuondoka, nikasimama kuwabeba, mkachoma ndani, ukajiachia siti ya nyuma! Ukajikausha kau, zaidi ya kaukau, ukianzisha story yako sichangii, akianzisha rafiki yako, nachangia, nacheka.
Mungu sio Rugemalira, kumbe njia yetu moja, Morogoro rd, rafiki yako leo kashuka K. Korogwe, wee kumbe unaenda Kibamba, slim5 ubavuni kwangu Mbezi Mwisho, njia nzima umekuwa mpole kama mwanamke aliekopwa papuchi,
Umejaribu kujichekesha, kujisemesha, mie kimya! Uso wa mbuzi, zaidi ya mbuzi mwenyewe! Kutoka K. Korogwe aliposhuka mwenzio, sijafungua mdomo wangu mpaka nakushusha Mbezi upande gari za kwenu!
Nakusubiria Jumatatu, nikuone Unanishusha, unanipandisha kama kawaida yako.Jifunze kuishi na watu vizuri, kuwa mwema kwa watu wakati wa kwenda, waweza kukutana nao wakati wa kurudi.
Alamsiki Slim5