Wadada punguzeni maringo

Wadada punguzeni maringo

Mkuu ni kweli... Ishanikuta kitu kama hii....and nli apply tha same tactics unazotumia. Mbna alinifata mwenyewe akaomba tuyamalize.....kuna namna ya kuwafunza adabu such people bila ya shari wala kurushiana maneno na waka kuheshimu.

I really dislike such people....i really like when a woman akiwa mshkaj nd kama ni kitu hapendi anakuweka wazi and u have to respect it, life becomes really interesting and fun.

Watu humu wanasema sijui ni background au nature ya mtu. Well si kweli...kuna watu hawana adabu or maadili ya kuishi na watu. Inakuja wa cost kipindi kama hcho anapo iface dunia baada ya masomo perhaps akifika mjini au sehem yenye jumuiya ya watu tofauti tofauti.
 
Mkuu umegusa mule mule... Ishanikuta kitu kama hii....and nli apply tha same tactics unazotumia. Mbna alinifata mwenyewe akaomba tuyamalize.....kuna namna ya kuwafunza adabu such people bila ya shari wala kurushiana maneno na waka kuheshimu. I really dislike such people....i really like when a woman akiwa mshkaj nd kama ni kitu hapendi anakuweka wazi and u have to respect it, life becomes really interesting and fun.

Unajua kiuhalisia, mtu hawezi akavutiwa na watu wote wanaomzunguka! Inawezekana huyu mdada katika nafsi yake, hanikubali kabisa, lakini kwa kuwa mimi na yeye hatujawahi kukutana popote pale kabla, na kwa vile tunakutana mara chache sana katika kazi zetu, angevumilia tu, kuliko kuonyesha wazi wazi hisia zake! Kwangu ni bora akantukana kwa sauti matusi yote anayoyajua, lakini sio kunidharau kwa namna anavonidharau huyu!
 
C umpe tu cheupe live!unamuogopa au nawe si ungemkatalia asipande gari yako

Kwa speed aliokuja nayo, hivi nlivofanya naamini ni stahiki yake! No, hapana, Mungu ana makusudio yake kwa ile scenario!
 
The Boss

Dah mkuu ivi huwa unatumiaga muda mwingi kusoma vitabu vya mafundisho na article za hekimahekima maana daaaah, kila unapofumbua mdomo kuongea ni jiwe!

Congratulation mkuu.

Nipe siri ya hili.
 
Last edited by a moderator:
Unajua kiuhalisia, mtu hawezi akavutiwa na watu wote wanaomzunguka! Inawezekana huyu mdada katika nafsi yake, hanikubali kabisa, lakini kwa kuwa mimi na yeye hatujawahi kukutana popote pale kabla, na kwa vile tunakutana mara chache sana katika kazi zetu, angevumilia tu, kuliko kuonyesha wazi wazi hisia zake! Kwangu ni bora akantukana kwa sauti matusi yote anayoyajua, lakini sio kunidharau kwa namna anavonidharau huyu!

Nakuelewa sanaa...u just keep doing what ur doing....atanyooka tu. Im sure some of ur friends hapo job wata note hyo kitu and they will pick ur side if they are wise enough. Living wit different types of people is an art everyone shud understand na impacts zake in someone's life.
Kwenye haya maisha unaweza jikuta unanyonywa damu na mtu usiemdhania...
 
Apoapo ulipomfikisha. Ulimuongelesha????? Wanaume kama mabinti inamaana pana sana.

Ulitaka nimsemeshe nini kwa mfano? hakupanda gari ili tusemeshane, alipanda gari ili afike safari yake!
 
Dah mkuu ivi huwa unatumiaga muda mwingi kusoma vitabu vya mafundisho na article za hekimahekima maana daaaah, kila unapofumbua mdomo kuongea ni jiwe! Congratulation mkuu. Nipe siri ya hili.
The Boss yupo sahihi, kwa kuwa watu hawa tunao katika jamii, na hatuwezi kuwakwepa, basi tutaishi nao kwa style ile ambayo mhusika anaweza!
 
Last edited by a moderator:
namsubiria!

wewe slim5 j3 utupe majibu na bahati mbaya kama hayuko jf, wewe ni mwanaume akikushusha na kukupandisha mwambie ukiwa na sura ya kazi kuwa " nyodo zako staki" afu uondoke
 
wewe slim5 j3 utupe majibu na bahati mbaya kama hayuko jf, wewe ni mwanaume akikushusha na kukupandisha mwambie ukiwa na sura ya kazi kuwa " nyodo zako staki" afu uondoke

ngoja tuone J3, labda atazidisha dozi, maana kuna watu hapo juu, wanasema ni utoto, akikua ataacha!
 
Umefanya vema, kuna baadhi ya wanawake sio wote lkn, wana akili ndogo kama soli ya kiatu kilichokwisha kinachovaliwa na masai alieacha kobasi vaa kobasi anaringia papuchi yake usikute inanuka kama ushuzi!! mpotezee bro alafu next time ikitokea mmebaki wawili mshushe kwenye gari mwambie namsubiri mke wangu kuna sehemu tunakwenda
 
Mkuu maelezo yako kuhusu mmasai na kobazi nimeyasevu
 
Back
Top Bottom