Wadada punguzeni maringo

Wadada punguzeni maringo

Jaman jins ya kuweka post inakuwaje mbona nimelogin ila sihon sehemu ya kupost plz help me niggar:-\:-!
 
Hata Humu Kuna Vibinti Vinajiona Maqueen Kumbe Midebwedo Watu Hatuna Tym Nao Siye Acha Tutumie Pesa Wao Wanazidi Kuzaliana Mwishowe Watavunda Kwakukaa Nyumbani Wakitegemea Mali Za Baba Na Mama Na Wakipotea Wazazi Wao Wanaishia Kwenye Ukahaba
NB:ENDELEENI KURINGA WANAUME HATUNA TYM NA NYIE

Mbona unawasemea nq wengine?? sema na roho yako we Polisi jamii...
 
Last edited by a moderator:
deal na wa status yako.wenye nyodo waachie wenye nyodo wenzao.
 
interesting....
hili la kusema 'mtu fulani ana maringo'
au hasalimii anajisikia ..most of time tuko very wrong

baadhi ya watu kutokana tu na malezi hawajui tu namna ya kuishi na watu
wengine wametoka kwenye very different background....

unaweza tafsiri ni maringo au kujisikia kumbe tu mtu anaogopa watu
au hana tu 'social skills' zinazohitajika hapo

au mwingine ni mwili tu but bado mtoto mno kuelewa how to deal na watu tofauti..
wengine wana stress tu za kufa mtu hata akikusalimia why hasalimii watu utamuonea huruma

Well said
 
ukijua kupendwa jua nakukataliwa!
 
Back
Top Bottom