lyaguchunya
Member
- Aug 18, 2020
- 56
- 406
Hii tabia nimeiona kwa wadada wengi. Mtu kakupanga muda mrefu kwa ajili ya kupigwa mti. Ajabu mnafika eneo la tukio, badala ya kuonyesha ufundi, hamasa na mahaba kwa mwanaume unaanza kulalamika muda wote wa tendo.
Malalamiko yenyewe hayana msingi wowote na ni ya kipuuzi.
Utasikia nimechelewa fanya haraka, kabla haijaingia uniumiza, dk 5 tu imetosha niende, mara hela yangu naomba Kila style hutaki Ni moja mwanzo mwisho na upuuzi kibao.
Ukiangalia dem mwenyewe mkongwe kwenye game. Kama hutaki si useme.
Na hii hutokea kwa madem ambao wala hafananii na tabia hizi. Outside dem yuko njema Kila idara.
Ukisikia mwambie na mwenzio
Washikaji au nakoseaaa???