Wadada piten hapa

Wadada piten hapa

Haa haa haa kuna mdada aliniambia eti angefurahi sana kuishi na mimi,sasa siku moja akaniambia nimpelekee chipsi na kuku asikauke sana nilipomwambia nipo mbali kidogo akaniambia basi tuachane
 
Kuna mtu kasema eti kwa wanaume wa dar ndo wanaona fresh?? dah ila kwa % kubwa mostly wanao vaa vikuku hapa dar weng wao ni ma playgirl tu na awajaolewa na hawana mpango huo na wengine wana vyuo
 
Daah! Yaani umeongea kweli tupu
Endelea kuwa danganya wenzako akati wee umetulia tulii hizo sifa huna...... wenyenazo watasubiri sanaaaa.....................na rungu tunaosha kama kawa afu ntu njima nazama nanjilinjili kuchukua nchumba............
 
Hayana formula haya mambo. Dada unapenda urembo usijizuie kwa hofu za kutoolewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom